18 - phinias john ft j93 lyrics
verse 1
umri wa mtu mzima
napiga kura majuk-mu ni lazima
siuzi sura nipo mjini najituma
napambana kivyangu na wanangu
kama nakudai nipe changu
nalilia wembe kwakua nimesha balehe
ujana maji ya moto zinaunguza hizi starehe
jifanye una kiburi upate sifuri
dawa ya moto ni moto ila kiburi ni jeuri
chunga marafiki na wanafiki
magroup ya kiduanzi yasikutawale kirahisi
wakubwa wanafaidi sasa umekuwa niambie una faidi nini?
utoto hujaacha na akili itakuwa lini?
bridge(phiniasjohn)
pesa nyingi yeah
mademu wengi yeah
bangi nyingi yeah
tungi jingi yeah [18}
chorus{j93}
k-mi na nane k-mi na nane(yeeah)
k-mi na nane k-mi na nane(wooh)
k-mi na nane k-mi na nane((yeeah)
k-mi na nane usifosi tufanane(wooh)
k-mi na nane k-mi na nane
k-mi na nane k-mi na nane
k-mi na nane k-mi na nane
k-mi na nane usifosi tufanane
verse 2(j93)
k-mi na nane ndani ya box
nimebaki tu na kipa nikipiga sikosi
tegemeo la familia so nasaka msosi
hata mambo yakiwa magumu yo n-z-di kuforce
aah
k-mi nane ndio umri wa uhuru
kufanya unalotaka ila usije kukufuru
angalia njia zako kuna giza pia nuru
marafiki unaochagua cheki wasijekukudhuru
nacheza nacheza nacheza vile navyotaka
wachumba wachumba namchagua yule naemtaka
mavumba mavumba nasaka vile navyotaka
no dumba no dumba me natoa tu sadaka
unaweza chagua hela
unaweza chagua mbwela
unaweza chagua jela
usmart boy ama usela
brigde(j93)
pesa nyingi yeah
mademu wengi yeah
bangi nyingi yeah
tungi jingi yeah
Random Song Lyrics :
- dirty south - mandalay victory lyrics
- high low high low - luna keller lyrics
- doppelgänger - city nord lyrics
- take me - rso lyrics
- 22521 - humprey lyrics
- nie od święta - prec x etker lyrics
- #textu - okaymar lyrics
- matkhallish hada aayesh - the synaptik lyrics
- all my friends are going to hell! - jynxed! lyrics
- lullaby - eternal michii lyrics