lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ombi langu - petronilla ayuma lyrics

Loading...

chorus
(hili ni ombi langu
wokovu huu ni meupokea
nisaidie niokoke hadi mwisho
daraja hili ni vuke viema)  x2

verse 1
(ninayainua macho yangu juu
nitazame milimani juu
msaada w*ngu watoka wapi
msaada w*ngu watoka kwako juu
sifa zako zipokee
baraka zetu tuzipokee
huduma hii iende mbele
injili itambae kote) x2

chorus
(hili ni ombi langu
wokovu huu ni meupokea
nisaidie niokoke hadi mwisho
daraja hili ni vuke viema) x2

verse 2
(niwezeshe kukaa kando
kando ya maji matulivu
kisima cha maji masafi
kisima kisicho nyaukaa
nidumu ndani yako
kaa ndani yangu
umzabibu wa kweli
na mimi ni tawi tu) x2

chorus
(hili ni ombi langu
wokovu huu ni meupokea
nisaidie niokoke hadi mwisho
daraja hili ni vuke viema) x2

bridge
nifinyange baba…
nifinyange upendavyo
nifinyange baba
nifinyange upendavyo

ni chongachonge baba
ni chongachonge upendavyo
ni chongachonge baba
ni chongachonge upendavyo

ni tengeneze baba..
ni tengeneze upendavyo
ni tengeneze baba
ni tengeneze upendavyo

ni safishe baba..
ni safishe upendavyo
ni safishe baba..
ni safishe upendavyo
ni takase baba..
ni takase upendavyo
ni takase baba..
ni takase upendavyo

chorus
(hili ni ombi langu
wokovu huu ni meupokea
nisaidie niokoke hadi mwisho
daraja hili ni vuke viema) x2

outro
eeeeh baba aaah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...