amani - petronilla ayuma lyrics
intro
[beats]
chorus
amani, amani, amani
amani, amani, amani
baba twaomba amani, amani, amani
baba tupe amani amani amani
baba twaomba amani amani amani
baba tupe amani amani amani
verse 1
mmm amani
baba leta amani moyoni
baba leta amani nyumbani
baba leta amani nchini kenya
amani africa
amani dunia mzima..
aaaa amani…
chorus
amani, amani, amani
amani, amani, amani
baba twaomba amani, amani, amani
baba tupe amani amani amani
baba twaomba amani amani amani
baba tupe amani amani amani
verse 2
baba mungu tazama mti huu wa amani
muovu ameuona ameutambua kwa mbali
ameachilia nzige tunutu madumadu viwavi
wameuvamia mti wakayala matawi
wameharibu matunda wameyala maua
nguo ya mti imeliwa yote hadi mizizi umeachwa uchi
aaaa amani…
baba rejesha amani yetu
chorus
amani, amani, amani
amani, amani, amani
baba twaomba amani, amani, amani
baba tupe amani amani amani
baba twaomba amani amani amani
baba tupe amani amani amani
bridge
amani….
hapa kenya..
amani…
twaomba amani nyumbani
amani..
twaomba amani moyoni
amani…
ondoa taharuki baba
amani….
ondoa kuchaf*kiwa baba…
amani…
rejesha amani yetu baba
amani..
rejesha upendo baba…
[beats]
end
Random Song Lyrics :
- earth shall mourn - lie in ruins lyrics
- facing the sea - dip in the pool lyrics
- deep into the woods - children of the corn (memphis) lyrics
- pass my dreams on - stxr, tommyprime lyrics
- options - l'nee golay lyrics
- cloud 9 - jenningzthestar lyrics
- escape from paradise - august, yours truly lyrics
- toxic - frane lyrics
- bisnes - antti tuisku lyrics
- ssri - wszedziezuber lyrics