
run dsm - p the mc lyrics
beti 1:
kwa jinsi navyoizinga rap, hawapiti majamaa/
wanashangaa kuona kila biti natambaa/
wanajiuliza yuko vipi huyu kachaa?/
asante kwa mwenyezi maana niko fiti mpaka raha/
wote ma mc viburi watakoma/
kama rap ganja badi mpaka puli nishachoma/
cheki time hii niko na dully kwenye ngoma/
machizi wanapiga yowe “mwana nzuri mpaka nomaa”/
mi ni mwendawazimu sifai katu/
padri toka kuzimu nanywesha divai wafu/
unayejifanya we ndo bingwa wa rap/
haya potea, m-baya nishatinga kwa map/
usifanye usiku nije “knock your doors”/
naked with ma di–k straight like pinocio nose/
coz, nataka nije run dsm/
and i dont’ want to be the same/
so lets gooo…..
kiitikio (dully sykes)
eyo whatsap, haters na machizi w-ngu wote kwenye rap/
mimi ndo mwenyewe na nshatimba kwenye map/
ona n-z-tafuta nazo zaja chap chap…… nataka run dsm
na…. nana nanana nana naa
nana nanana nana naa x 2
beti 2: (young k!ller)
mapenzi hayana shule binadam hatufundishwi kupendana/
sijahit bure muda ule haikuwa rahisi kusimama/
haikuwa njama nlikazana kibishi/
sio kama rap ya kweli hakuna, ila wanaochana hawaridhishi/
leo nakamua kikauzu/
na najua kuwa hata akili inahitaji nguvu/
ili i-move, nisonge mbele niwaache mazuzu/
nawachenga ambao mtihani wa kubebwa wamefuzu/
vinakera vikwazo, kipaji ndo chanzo/
mziki hauna hela nlizotarajia kuwa nazo/
futa mawazo, presha na aibu/
sasa utapataje pesa, kama ukiwaza tu haupati jibu/
nini maana ya muziki kama uwezo hautumiki/
ukichana kupita kiasi unapoteza mashabiki/
skia, nataka nije run dsm/
and i dont want to be the same/
beti 3:
unaweza kuwa na nyimbo tele, yah ukafanya nyingi/
ila zote kelele zaidi ya kengele ya misanya bingi/
mi nitadumu hadi milele kwa misingi/
hadi siku navishwa suti tai mbele kama dingi/
ukiniita “booth” haina kwere man/
waulize wanaonijua kwenye rap niko very fine/
tena huaga sioni gere man/
sumu ya marapa mimi ya mapenzi muulizeni belle 9/
navyowapa shurba hawaamini/
nawaganda kisawasawa zaidi ya ruba mwilini/
mi ndio “carbon”, nikitimuka hawavuti hewa/
levo zao chini sana ka bei za uchi sewa/
wanasema nna sura ya kipedeshee/
acha wale ujana maana mi ntakula mpaka uzee/
skia, nataka nije run dsm/
and i dont’ want to be the same/
so lets gooo
Random Song Lyrics :
- quintal dos perigoso (part. wall hein) - kayblack lyrics
- don’t ask if i’m okay - calmness lyrics
- crash - frvr&alwys lyrics
- be ready - steve chapman lyrics
- ms. cassandra - cassandra jenkins lyrics
- girl gone wild - rosette lyrics
- the end - zitten (짙은) lyrics
- cuando me ves - dani ribba, tiago pzk lyrics
- smoke and mirrors - jadenxoox lyrics
- todo por necio - proyecto t lyrics