uniumbie moyo safi - p. mpaji lyrics
eh mungu w-ngu maisha yangu kwako nayakabidhi
siku zangu za kuishi duniani, (mungu naomba unilinde)
najuwa siku ya kuzaliwa kw-ngu ila sijuwi lini nitaondoka
maisha haya kama upepo, leo tupo kesho hatupo
siku ya huk-mu nayo upesi inakaribia
j-po wengi hawajali wako busy na mambo ya dunia
yesu utakapo rudi, nahitaji nami siku hiyo nikuone
katika unyakuo, niende naweee
ndiyo maana naishi kwa ajili yako baba
ili ukija, unikute tayari
uniumbie moyo safi baba
niwe mmoja wa wana wako
sitaki kuwa mzowefu wa mambo haya ya dunia
ulisha twambiaga yote yatakwisha
tena ukasema, dunia hapa si mahali petu
hapa ni mapito, kwetu ni mbinguni
nahitaji siku hiyo, jina langu nami lisomwe
katika kitabu cha uzima, sauti yako iniite
vema mtumishi mwema, tena muaminifu
umeshinda ziki za dunia, ingia katika raha ya milele
ulikuwa muaminifu, kwa madogo nitakufanya sasa muaminifu
wa mambo makubwa
oh itakuwa furaha ilio je, kuingia katika yerusalem
mji wa baba yetu
ndio maana naishi maisha haya, kama mpitaji
maana najuwa, mbinguni ndo nyumbani
uniumbie moyo safi baba
niwe mmoja wa wana wako
sitaki kuwa mzowefu wa mambo haya ya dunia
ulisha twambiaga yote yatakwisha
tena ukasema, dunia hapa si mahali petu
hapa ni mapito, kwetu ni mbinguni
najiribu kujilinda, na kujiepusha na anasa za dunia
nisije nikapoteza wokovu nilioupata kwa bure
sioni jambo jema tena hapa chini ya jua
la kufurahisha moyo w-ngu
yalio kuwa faida kw-ngu, yote nahesabu kuwa ni bure
maana nimepokea bwana yesu maishani mw-ngu
maisha haya ni kama treni, inayo pita mara moja na haitorudi tena
dereva ni bwana yesu, sitaki kizubaa nikaja kuachwa
nikibibaki nikilia, huko mbinguni wengine walisha fika(ehh)
mungu niwezeshe nikutumikie ipasavyo
uniumbie moyo safi baba
niwe mmoja wa wana wako
sitaki kuwa mzowefu wa mambo haya ya dunia
ulisha twambiaga yote yatakwisha
tena ukasema, dunia hapa si mahali petu
hapa ni mapito, kwetu ni mbinguni.
Random Song Lyrics :
- sag mir - lityway lyrics
- prom, forever - drewsyourfriend lyrics
- don't trust em - gangsta blac lyrics
- life of sin - kadizzy lyrics
- mind flayer - vianova lyrics
- rollie dream - dyme-a-duzin lyrics
- roundabout (live canandaigua 1994) - yes lyrics
- rosszul vagyok - ljay [hun] lyrics
- не интересует (not interested) - mxva lyrics
- познай (know) - shawtyshine & i61 lyrics