hakuna anayeniweza - p mawenge lyrics
[intro]
yii yii yii yiiiah
bombronx
mawengeee
aah
[verse 1]
cheki mi nawabatiza kwa rap waniite pastor wenge (wengeee)
nawamulikia marapa na nshawasha mwenge
wachawi wachawi, vilimi vyao nimeshavipaka usembe
na wakirudia kuloga nikikamata nakata kende
nlichogundua marapa, kipaji changu chawapa homa
na hamniwezi, wekeni wazi acheni kukata kona
naweza kubashiri mawazo yenu dizaini ya kaka kwona
na round hii siwaachi mpaka mniite rapper noma
mi huwaga tu nawachora, mnavoropoka kwa interviews
na makiki meengi, instagram just to get the views
“cheki raba kaninunulia baby” man f the shoes
i know your real lives, so punde tu nta break the news
skiza katikati ya ubongo i got a rhyme book
niweke kwa top 10′ nawakalisha all the nine dudes
i was in a time to crak crak, but now is timе to shoot
kama ukisikia bum bum bum bum, so jua na*run the booth
[chorus]
wote ni ma laaaaazy, wako hoi…wako hoi
waje niwapoteeeezе, hawanitoi….hapa hawanitoi
hakuna anayeniweza
wote ni ma laaaaazy, wako hoi…wako hoi
waje niwapoteeeeze, hawanitoi….hapa hawanitoi
hakuna anayeniweza
wote ni ma laaaaazy, wako hoi…wako hoi
waje niwapoteeeeze, hawanitoi….hapa hawanitoi
hakuna anayeniweza
wote ni ma laaaaazy, wako hoi…wako hoi
waje niwapoteeeeze, hawanitoi….hapa hawanitoi
hakuna anayeniweza
[verse 2]
nawachungulia kwa chabo
mnavyojitia mikazo
wakati nikiwaitaga, daily mn*z*mbia collabo
nitawakazia na bado,siwezi hofia vinyago
na chokochoko zikizidi, wote ntawashushia kisago
sa bila kupepesa macho, man i got to drop the hit
p mawenge’s on the verses owee is on the beat
mi kiwalani native, am coming from the street
ukiniletea uchoko man you got to sit on my d*ck
alishasemaga khali ,wanajiua ni mazishi
na hawataki kukubali w*nga wanakuwa ni wabishi
mi sijaibuka kwa zali, naujua huu miziki
nyie marapper sio wakali, mn*z*ngua mashabiki
so when i stand up, you have to put your asses down
coz amma take you empty brains back to classes now
hakunaga mnachokijua, you’re all a bunch of clowns
can’t rap, can’t sing you better shut your f*cking mouth
[chorus]
wote ni ma laaaaazy, wako hoi…wako hoi
waje niwapoteeeeze, hawanitoi….hapa hawanitoi
hakuna anayeniweza
wote ni ma laaaaazy, wako hoi…wako hoi
waje niwapoteeeeze, hawanitoi….hapa hawanitoi
hakuna anayeniweza
wote ni ma laaaaazy, wako hoi…wako hoi
waje niwapoteeeeze, hawanitoi….hapa hawanitoi
hakuna anayeniweza
wote ni ma laaaaazy, wako hoi…wako hoi
waje niwapoteeeeze, hawanitoi….hapa hawanitoi
hakuna anayeniweza
Random Song Lyrics :
- punching above our weight - the loch ness mouse lyrics
- could be me - dread fury lyrics
- best friend (solo) - thinandbruised lyrics
- eu não vou embora (ao vivo) - mc g15 lyrics
- лабиринт (labyrinth) - lesya lass lyrics
- parasites-creepers - venom symbiote lyrics
- моя душа пьет (my soul is drinking) - ночной (nochnoi) lyrics
- take me anywhere - harded2000 lyrics
- forcément - marie-maud lyrics
- shikshak - shaikhspeare, gravity, yogi vish, taunk bawa & roro lyrics