niko bize - p-funk majani lyrics
[intro]
(instrumentals)
(?)
gachi b
oh, yeah
bize (uh)
niko bize (?, yeah)
niko bize (yeah)
niko bize
uh
[verse 1: billnass]
niko busy na plan za kikubwa
ndio maana sionekani, mkubwa
hii game inaushindani mkubwa
ila mi sishindani, mkubwa
mafanikio toka kwa maanani, mkubwa
ukiona wivu, vaa miwani, mkubwa
i mean it, sio utani, mkubwa
nilipotoka siwezi ku*return
[?] kama tupo miami, mkubwa
tukivaa [?], mkubwa
vyuma vimejipanga uani, mkubwa
sijui hata niendeshe gari gani, mkubwa
haa!
[?] plan
she got million dollar
nilipotoka mimi, hajawahi toka fala
[?] plan
she got million dollar
nilipotoka mimi, hajawahi toka fala
[?] plan, plan [?]
[hook]
kama haihusu pesa, usini*call (usini*call, call)
mambo mengi na muda hautoshi
nakimbizana daily kusaka dough (kusaka dough)
nikipata muda nautenga kwa my god, my fams, my friends, wengine niko bize
[chorus]
niko bize
niko bize, (eh!)
niko bize
niko bize, (eh!)
niko bize
niko bize, (eh!)
yeah
niko bize
niko bize (eh!)
[verse 2]
mwambieni mama yangu niko bize kinoma
ndio maana umepita mwezi mzima nyumbani hajaniona, yeah
sili bata, mi na hustle nipate pochi iliyonona, yеah
niwe sina, niwe nacho, ‘chochote natuma, jikoni hakuwеzi kununa
nipo busy natafuta, ma snitch nao wapo busy kunishusha
na bado nawakimbiza, wanajuta, ‘mahali nilipo hawawezi kunikuta
sikia’ dhiki nmeichoka, nipo busy kimuziki niweze toka
nisimame wima, na nisije kudondoka
hizi ni facts, huwezi kuropoka, ‘daily nipo proper
usipo nikuta kino basi jua niko pande flani za kariakoo
iwe mchana, jioni, usiku’ i’m just shootin the paper, naitafuta dough
na kila nnapopata kidogo, inanipa moto nitafute more
lengo ni kuja kuwa zaidi ya rapper, niwe tajiri kama dewji, mo
sorry baby i know it’s your birthday
ila leo siwezi tokea
lakini nitatuma ka pesa flani, ili na wenzako muweze sherekea, aye
you know that i’m here, you know that i care
ni future yetu ndio nahangaikia
the money is coming, i know that is there
tulia’
kama haihusu pesa, usini*call
usije ukanikimbia
[pre*chorus]
mambo mengi na muda hautoshi
nakimbizana daily kusaka dough (kusaka dough)
nikipata muda nautenga kwa my god, my fams, my friends, wengine niko bize
[chorus]
niko bize, (eh!)
niko bize
niko bize, (eh!)
niko bize
niko bize, (eh!)
niko bize
niko bize (eh!)
[outro]
niko bize
niko bize, (eh!)
niko bize
niko bize, (eh!)
niko bize
niko bize, (eh!)
niko bize
niko bize (eh!)
Random Song Lyrics :
- serving us (feat. slim) - osa man lyrics
- houdini - dro kenji lyrics
- lala (romanized) - loopy lyrics
- zombies (remix) - luxerx lyrics
- if our time is over - forest sun lyrics
- ficheiros - 2contra1 (angola) lyrics
- frozen rivers - ered wethrin lyrics
- snowstorm - color crush lyrics
- here i am - justin spring lyrics
- jungle fever - m.a.n. ii lyrics