safari - ox lyrics
chorus :
kama maisha safari aaah
tafakari aaah
siku ukienda mbali aaah
usije ukalia aah
kama maisha safari aaah
tafakari aaah
siku ukienda mbali aaah
usije ukalia aah
maisha safari, safari
maisha safari, safari
verse:
uyeeh
maisha ni shule
so it’s never too late
to change to a good thing
furaha ni bure ukiweza kuikata chuki
maisha mafupi na hatuna guarantee
tunaishi kwa upendo, weka malengo
usafi ndo mwendo, cheka na pengo
learn to let go
beware of what you’ll die for
is it what you do is what you born for
jah make us forgive before is our time to go
yeah
chorus :
kama maisha safari aaah
tafakari aaah
siku ukienda mbali aaah
usije ukalia aah
kama maisha safari aaah
tafakari aaah
siku ukienda mbali aaah
usije ukalia aah
maisha safari, safari
maisha safari, safari
verse 02:
binadamu turinge na nini
juu mara kesho chini
unanuna nikipata plani
unavimba kama shetani
kama beef ndo kitu unaamini
hutofika kokote niamini
sala zenu niwekе na mimi
kifo ni gari na mwendo ni chini
/usinipe rangi wala kabila, dini ni moja upendo naamini
/mola nijеnge nisitende kwa hasira,na niwapende mpaka wasionipenda mimi….
chorus :
kama maisha safari aaah
tafakari aaah
siku ukienda mbali aaah
usije ukalia aah
kama maisha safari aaah
tafakari aaah
siku ukienda mbali aaah
usije ukalia aah
maisha safari, safari
maisha safari, safari
Random Song Lyrics :
- tom petty t-shirt - the bacon brothers lyrics
- holy ghost/sun of set - cambatta lyrics
- every rock'n'roll song to me - rod stewart lyrics
- love you more - chris howland lyrics
- divide the minority - feeder lyrics
- bohemian trapsody - decky lyrics
- gucci - iamsu! lyrics
- legends 4 life - funsho lyrics
- axx dunya - mudi lyrics
- backbone - beacon lyrics