focus - ox lyrics
verse01:
i can’t quit cigarette smoking cause of you
maybe for my health side point of view
i’m the only one who knows what i’m going through
so it amuses me how it matters to you
muda mwingine nikikaa peke yangu nalia
naona pengine nikarudi kwa vitabu navumilia
mpaka pale muda utakapofika, na unakaribia
nakuwa mpole kama malaika, sina cha kujivunia
i pray times to get real slow, i pray we don’t go
don’t play with the whistle, you’ll call the wiered dogs
tena acha kabisa, kujiumiza
muda unapoteza, hizi nyingi dakika
acha kuigiza, penda maisha
mi napenda ndoto zimulike kwa kiza
i’m focus…
chorus:
mungu pekee ndo nafanya kimbilio
anitetee wakipanga shambulio
uchungu pekee ndo unapozwa kwa kilio
ya dunia nayapaga tu sikio
mungu pekee, anitetee
mungu pekee, anitetee
am focus..
vеrse2:
nikijiona sina budi mi kuteseka
(i need your gracе,out of this stress,)
niishi upendo kama dini wakinitenga
(make us focus, you the one who know us)
na kama nikikosa unisamehe
mana sistahili pengine
mabaya yakitoka unitetee
maana sistahili pengine
chorus:
mungu pekee ndo nafanya kimbilio
anitetee wakipanga shambulio
uchungu pekee ndo unapozwa kwa kilio
ya dunia nayapaga tu sikio
mungu pekee, anitetee
mungu pekee, anitetee
am focus..
Random Song Lyrics :
- i got - 1oneam lyrics
- pig-pen in my cup - kimemes lyrics
- guts (remaster) - stop.drop.rewind lyrics
- todo si - enzocerobulto lyrics
- yeah - fern road lyrics
- ace - bryce dracula lyrics
- 3al fabrika - ع الفبريكا - haidy moussa - هايدي موسى lyrics
- diamonds - kylie minogue lyrics
- zo nice - equalz (nld) lyrics
- hozanna bukule - daniel lubams lyrics