sunina - otile brown lyrics
mmmhh eh, sunina sunina
unanibamba sio kitoto
fanya haraka uwahi
nina uroso umepitiliza
follow me, go
tamu chocolate ooh
mungu ameumba, amepatia
sijaona yako asilia
you can count on me love
ukinihitaji nipo
oh morning girl..
oh baby
say my name, say my name
anytime you want me coming around
say my name
anytime you don’t have to call
say my name
when baby you want to come around
say my name, say my name, say my
i drop it down, then pick it up
baby weka shakira kira, shakira
baby magarita weka shot ya tequilla
ninapull up oh yoh..
baby, you make me go loco
the more i watch your body go
hata mara ngapi ukinipa siridhiki
i need more more, i need more
this kind of love nimetafuta sij*pata jawabu
nimeshapima nikafeli hesabu
wanasemaga chini ya jua hakuna ya ajabu
ila wewe, nani wewe?
kama jini umenasa
mwana upеpo wako umenikoroga
na kila chocho, chocho
ukipinda wanapinda
shingo, shingo zao zavunjika
sijui kanilisha nini
kweli mapenzi chakula cha moyo
amеnitawala akili
aniendesha ka basi la eastlando
honey wewe, utaniua wewe
mtoto umeweza, utaniua wewe
baby, you make me go loco
the more i watch your body go
hata mara ngapi ukinipa siridhiki
i need more more, i need more
Random Song Lyrics :
- dead pixels - cumgirl8 lyrics
- купола - валюта скуратов (valyuta skuratov) lyrics
- играешь со мной (igraesh so mnoj) - хестон (heston) lyrics
- earn your respect - human garbage lyrics
- heartbreak (разбитое сердце) - soul malon lyrics
- huli na - yuridope lyrics
- da lolak - ده لولاك - mohamed hamaki - محمد حماقي lyrics
- have a gigolo xmas - steel lyrics
- final exit - og cuicide lyrics
- kim kardashian - c.m.l. lyrics