chaguo la moyo - otile brown lyrics
[intro: otile brown & sanaipei tande]
hey hey
oh, baby
teddy b
no, ooh
tam tarara tam tam, yay
oh, baby
tam tarara tam tam
[verse 1: sanaipei tande & otile brown]
mi’ nakuchagua wewe, wewe uwe w-ngu (aah)
mume w-ngu, baba ya watoto w-ngu (aah)
kupendwa nawe majaliwa, kukuoa ni baraka, eeh (aah)
mshikaji w-ngu wa maisha
oh, baby, i love you (aah)
[chorus: sanaipei tande, otile brown, both]
and for you
ninabadili mienendo yangu, baba
baby, for you
ninaukimbia ujana mama, eeh (yay yay)
nijenge boma nawe (nawe)
nizae watoto nawe (nawe)
niwalee pamoja nawe (nawe)
nizeeke pamoja nawe (nawe)
nataka nijenge boma nawe (nawe)
nizae watoto nawe (nawe)
niwalee pamoja nawe (nawe)
nizeeke pamoja nawe (nawe)
chaguo la moyo tam tarara tam tam
chaguo la moyo tam tarara tam tam (yay)
[verse 2: otile brown & sanaipei tande]
na kwenye madhabau unavong’aa
unavopendeza kwenye lorinda
oh, baby, i knew you’re the one for me
oh, baby, you’re the one for me
i can tell the way you smile, the way you laugh
the way you talk, the way you walk
baby, you’re the one for me
i swear you’re the one for me
[chorus: otile brown, sanaipei tande, both]
and for you
ninabadili mienendo yangu, mama
baby, for you
ninaukimbia ujana w-ngu (yay, yay)
nijenge boma nawe (nawe)
nizae watoto nawe (nawe)
niwalee pamoja nawe (nawe)
nizeeke pamoja nawe (nawe)
nataka nijenge boma nawe (nawe)
nizae watoto nawe (nawe)
niwalee pamoja nawe (nawe)
nizeeke pamoja nawe (nawe)
chaguo la moyo tam tarara tam tam (yay)
chaguo la moyo tam tarara tam tam (yay)
[outro: otile brown]
otile brown na sanaipei
Random Song Lyrics :
- we can't stop the music - da pump lyrics
- just some guy - anthony rapp lyrics
- anna sun (live) - walk the moon lyrics
- handsome johnny - the flaming lips lyrics
- takeoff - atl smook lyrics
- verde - secreto "el famoso biberón" lyrics
- polaco (to też) - bedoes lyrics
- satellite - vito. (vito gusman) lyrics
- honey - kwabsmah lyrics
- too emotional - beborn beton lyrics