asante - otile brown lyrics
[intro: otile brown]
ooh
ooh
mm
vicky pon dis
[verse 1: otile brown]
kupendwa ni baraka
uwe masikini au tajiri
mwisho wa siku, ushindi mkubwa, furaha na amani
(ah, ah, ah)
kupendwa ni kwa neema
kuna waliojaliwa mali
ila ndio sasa, wamepungukiwa mapenzi
[hook 1: otile brown]
niamini, baby
mimi ni wako
kwako nashikamana hivyo
niamini, baby
mimi ni wako
kwako nashikamana hivyo
[chorus]
asante
asante
kwa kunipenda (kwa kunipenda)
asante
asante
kwa kunipenda (kwa kunipenda)
mm, mm
mm, mm
mm, mm
[verse 2: rayvanny]
nimechoka k*mficha (k*mficha, eh, eh)
acha leo mumuone
baby w*ngu ndio huyu
ndio huyu, ndio huyu, ndio huyu
nimeweka na mapicha
mitandaoni mmuone
baby w*ngu ndio huyu
ndio huyu, ndio huyu, ndio huyu
nimeona wengi, siwataki baby
nakutaka wewe
nimeona wengi, siwapendi baby
nakupenda wewe
oh, hey
ai
urembo uko high
ukiongeza make*up uta multiply
why? mai
mwenzako na ‘die
ulivyo mzuri na kuoa, wallahi i don’t lie
mmm
[hook 2: rayvanny]
niamini, baby
mimi ni wako
kwako nashikamana hivyo
mm
niamini, baby
mimi ni wako
tusiache pendana hivyo
oh, oh
[chorus]
asante
asante
kwa kunipenda (kwa kunipenda)
asante
asante
kwa kunipenda (kwa kunipenda)
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- zetsubo - jayare lyrics
- never fall in love - jp alexandre lyrics
- slow children - karl blau lyrics
- call me - gianni marino lyrics
- she's just a place to fall - vern gosdin lyrics
- kirby's dream land - guardin lyrics
- sherm - thirsty p lyrics
- chit chat - lil mexico lyrics
- my my - pk the rapper lyrics
- in the whip - cino & mosh jelton lyrics