aje nione - otile brown lyrics
oooh
ooh baby
naamini kila binadamu ana ubaya na uzuri wake, baby
mmmh
naamini kila binadamu ana madhaifu yake
ooh baby
mmmh
nami yangu nayajua na nakabiliana nayo
ila mwenzio sitojua kwa kosa la kuumiza moyo wako, ooh nisamehe
tena najuta, najuta eeh
aah, yalonikuta
kazi ya ibilisi mama
tena usiku silali
labda nilewe chakari
ama nilale mama na picha yako kifuani
ndo nijisuku nami je unaniwaza
mmh baby
ama tamaa kw*ngu ulishakata
aje anione, aje akanione
aje anione
aje anione ne ne ne ne
wajua ninakukosa sana, hasa giza linapotanda
mi mahututi
mi mahututi
wajua nmekuzoea mama, nakuhitaji leo zaidi ya jana
na endapo utachelewa mama
mi maiti
eeeh
tena najuta, najuta eeh
(mamaa)
yalonikuta
kazi ya ibilisi mama
tena usiku silali
labda nilewe chakari
ama nilale (mama) na picha yako kifuani
ndo nijisuku nami
je unaniwaza
mmh, baby
ama tamaa kw*ngu ulishakata
aje anione, aje akanione
aje anione
aje anione ne ne ne
Random Song Lyrics :
- her name is (left eye tribute) - blaque lyrics
- if my girl find out - starlito & don trip lyrics
- the hard goodbye - mizery (hardcore) lyrics
- just my luck - filmspeed lyrics
- 4 life - marlo lyrics
- чтоб ты знала (you to know) - rsac lyrics
- monument - halcyon days lyrics
- grim grinning ghosts - creature feature lyrics
- no love - m c c o yy lyrics
- hey ya! - amanda fondell lyrics