lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

watoto na pombe - otile brown feat. mejja lyrics

Loading...

aaah aah… aaah aah
aaah aah… aaah aah
aaah aah… aaah aah

aaah aah… aaah aah

ooh bizee napiga hela kama benki
wanaiga swagga ila haiketi
look sipigi hutokuta navaa feki
leo gucci au prada
pengine glasi za mkata

nasema zaidi ya donna na tanasha
simba wenu mlanyasi meno haiga nyama
sishoboki hata ngoma zikibuma
still sipendi mazoea
hata ukinichekea nauchuna

baby whats your name kuja ujumuike nasi
kamata kinywaji acha wasi wasi
na kama tinga lin*z*ma ita taxi

and it’s all on me
bado nasoma namba
napenda watoto wenye darasa
punguza selfie nitakukacha

watoto na pombe, watoto na pombe
watoto na pombe, (nilichofuata ni)
watoto na pombe, watoto na pombe (pombo)
watoto na pombe

pombe… (aaaaaah) totoza

pombe… (aaaaaah) totoza

wananiita sultan huku ghetto
njoo nikuonyeshe maisha ya majengo
tupitie mpambe tule wali
twende pangani tuchane majani
aah naona umevaa mini

na unashinda ukiivuta vuta chini
ni hio haga inainua sio siri
samahani ni macho sio mimi
tumefika humu ndani ya giza
usijali bei nitalipa

kidogo msupa akaitisha
nikasikia ameitisha king fisher
eey if you know you know (you know)
king fisher panty remo* aiii

manze ni leo, leo ndio leo
kwa nyundo leo watoto na vileo

baby [?] nkujumuike nasi
kama hata kinywaji acha wasi wasi
kama tinga lin*z*ma ita taxi

and it’s all on me
bado nasoma namba
mi naye watoto ni darasa
guza selfie nitakukacha

watoto na pombe, watoto na pombe
watoto na pombe, nilichofuata ni
watoto na pombe, watoto na pombe
pombe, watoto na pombe

pombe… aaah aah… aaah aah totoz
aaah aah… (pombe)
aaah aah totoz
na iwake

whiskey river na kisa
b club, golden ice (na iwake)
ooh ni starter pass
plug na seven d (na iwake)

whiskey river na kisa
b club, golden ice (na iwake)
ooh ni starter pass
plug na seven d (na iwake)

na milan pia
njuguna’s na ka local pub
kwa mama esther i see you
moraa.

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...