lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kido - only1pabo lyrics

Loading...

uuh oh ooooh eeeh yeah
oh girl oh girl
yeah yeah yeah yeah

i don’t wanna let  you go
penzi lako ni zito mwenzako
siwezi lanikaba roho
yeeeah
nipe more nipe more
ushanivisha kitanzi
sitoki kwingine
mi nasema no
eeeh ye yeah

makelele yao sisikii
wanatalk mbovu
wana kamati
wengi hawapendi tujinafasi
wanataka unipe kovu
tuachane nao

sitaki fever
baby noo fever
baby fever
uuh wooh woooh

kido
(your my number one)
kido
(sogea basi we chumbani)
kido
(baby bend over)
kidogo

kido
(your my number one)
kido
(sogea basi we chumbani)
kido
(baby bend over)
kidogo

eeeh yeah

ni hatari ukisema
unibwage binu chali
tafadhali
usichape lako guu
mwendo mbalii
we jemedari
nishakuvisha cheo askari
nipe asali
forever your my beii

eeeh yeeeh yeeeeh

mtoto kifuani
chuchu dede
nikikuona napata mawenge
tena ulivo kisu kiwembe
nimekuweka top you my lady
umenona sihitaji mnene
sema unapotaka si twende

kido
(your my number one)
kido
(sogea basi we chumbani)
kido
(baby bend over)
kidogo

kido
(your my number one)
kido
(sogea basi we chumbani)
kido
(baby bend over)
kidogo

eeeh yeah

kido
(your my number one)
kido
(sogea basi we chumbani)
kido
(baby bend over)
kidogo

kido
(your my number one)
kido
(sogea basi we chumbani)
kido
(baby bend over)
kidogo

eeeh yeah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...