swing - omg tanzania lyrics
[verse 1: con boi]
kila nikiwa club niko vip
sitafuti mademu wananitafuta mi
party ka nilikufa nikafuf-ka
na naswing ka nataka kuanguka (swing)
left right kama uko tungi jingi (swing)
bounce head kama umepigwa singi (swing)
hata kama we ni mfupi kama pimbi (swing, huh)
tunazama kingi
all my people love me unconditional
watu w-ngu wote wapo original
kama nilikufa nikafuf-ka
na naswing ka nataka kuanguka
[chorus: s2kizzy]
swing x 8
swing left, swing right x 4
[verse 2: young lunya]
nakuja na eeh!.. napop ma bottega
nikija na hii.. wakuja anapotea
wanao hawachani ka sisi
hamuwezi ku ball na sisi
hamuwezi kuvaa ka sisi
kama wanyama sie simba nyie fisi
na ninavyoswing, mawaki nawapoteza
vile nnavyobang, wagumu w-n-legeza
mnapenda masifa mazee
tunakinukisha mazee
tunafurahisha masela
hatutaki misifa tunataka hela
wanatafuta kiki mi nakamua
mablazameni wakiimba wanabana pua
napenda sanaa shpapi watoto wa kishua
ila sipendi wa uswazi wanaojishaua
[chorus: s2kizzy]
swing x 8
swing left, swing right x 4
[verse 3: salmin swaggz]
wambie wanao
hatuwezi kuswing na wao
unataka picha wow
unataka picha za kwa mitandao
so mi nataka kuswing for now
na niko simple now
mnataka wimbo nmetoka chimbo tandika single now
ngoja nikupe kasiri
juu washapita wawili
na nimepiga mitungi naswing nawaona wawili wawili
simple kali nabadili
sitaki za kwenu batili
bebe flani zimechilli niacheni nipige madili
sa hawa marapa tambu, wanatupa udambu udambu
tunaona bandu bandu si ndo chachandu chandu
tukitoka ka mkuki, tunapiga mashuti
jombaa utaisoma, waliogoma wote mahututi
[chorus: s2kizzy]
swing x 8
swing left, swing right x 4
Random Song Lyrics :
- lunar takeover remix - lil kraezy lyrics
- latina wifey - s.t.r.a.y. lyrics
- human error - lykos lyrics
- i don't want you to die - airinna namara lyrics
- kладмeн - bear kinggg lyrics
- wildest dreams (taylor’s version) (cover) - jordan khan lyrics
- fuck wit a thug - playboii q lyrics
- lovely (qc4l crazybaby remix) - kidd surro lyrics
- mr. wolfe - conel lyrics
- can't get cleaner - boy friday lyrics