solo - omg tanzania lyrics
[hook: young lunya]
solooo, sicheki cheki kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
solooo, siwachekei kama kipara solo

soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)
soloo (sicheki, sicheki, sicheki)
soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)
soloo (sicheki, sicheki, sicheki)
[verse: salmin swaggz]
sitaki kucheka na hawa makoro akili isharuka ka tisa kasoro
mi nawaliza kwa giza totoro nafanya madoro wanakuja wanafollow na ka niko solo nabeba godoro kichwani watoro wanajua viporo
show me the way unavyoshow unavyoshow love
we takin back on this sh-t we go low low
cheki kwanza nimekuja poteza ikidundwa unacheza uniguse unaweza, niloshalegeza wakatengeneza eti ooh lord mwana siku hizi anacheza
hii kama order mi natekeleza, we paka poda mi nasaka fedha, sina watoto sitaki dekeza na ukinichekea naweza k-meza
naona ka ukicheka na nyani utayavua mabua, mbona nshawapasua fanya ka unajua wanachanganua mi nachanga dua, mi napangarua ni kisanga jua, kama chandarua mi nawapangua, naona ka nakamua utamu flani wa muwa
sema eti naringa ‘sabu nishaamua
wanatuuzia ujinga na hatutaki kujua nah yeah
[hook: young lunya]
solooo, sicheki cheki kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
solooo, siwachekei kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
solooo, sicheki cheki kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
solooo, siwachekei kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)
soloo (sicheki, sicheki, sicheki)
soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)
soloo (sicheki, sicheki, sicheki)
[verse: con boi]
all the time niko lowkey
sicheki nao hata waki joke and
i smoke trees najikoki
and i aint f-ck wit the police, na wenyewe sicheki nao naona ka! ni mikosi
i need sp-ce i need privacy, nna meditate najenga legacy,
ndio maana usiku i never go to sleep
najiona kama nishapewa prophercy
i teach them n-ggas lesson everyday, hata ucheke they gonna hate anyway,
suckas never ever roll wit me, wanakaa wakinichekea in front of me
i’m in the battlefield so im never chill till i’m finna k!ll all my enemies, gotta a lotta sk!lls na nataka mills n-gga you cant take away my energy,
i mean!! fitna!! fitna!! wanaweka fitna! wanataka fitna! fitna!!
i do what i feel now sicheki na makima wote nnawazima wazima
masikio yasio na pear now wote watasikia now mpaka vipofu they gonna see now, tumeshakuwa watu wazima hatutaki tuu majina tunataka tuweke heshima heshima
[hook: young lunya]
solooo, sicheki cheki kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
solooo, siwachekei kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
solooo, sicheki cheki kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
solooo, siwachekei kama kipara solo
(haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)
soloo (sicheki, sicheki, sicheki)
soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)
soloo (sicheki, sicheki, sicheki)
[vetse: young lunya]
nakimbiza mbele sirudi deki
watoto wananipetipeti
nakaza buti sicheki cheki
wale majamaa ni feki feki
wananitisha sitetemeki
usiku wala siweweseki
ndo kwanza nalala na mama lao nikimwaga maji na kupiga deki kudadadadeki
vita ni vita mapigo mazito utasema naplay picha la kiveti
mikaratasi kibao ya michano ukiniona kama bingwa la kubeti
ndio machizi kibao, mi mmoja wao ila nilipoteza vyeti, nikichana nachana utamu, utamu utamu utamu
saruti kwa nikki na joh, huku ni soo, wana washaingia choo
wakali wa kazi hizi omg yeah you already know
vita barida barafu chafua tuondoe kalio ukalie koo
sie ni matozi alafu chafu zingua zingua zingua ukalie ooooooh, ukalie ndoo.. ukalie ndoo
Random Song Lyrics :
- u.s.a. presidents song - kids learning tube lyrics
- being honest - 2gaudy lyrics
- rap et sapes - t.i.s lyrics
- whon - the mountain goats lyrics
- рядом навсегда (near forever) - l’one lyrics
- keep your lamp trimmed and burning - uncle sinner lyrics
- the dawn - themusicnerdguy lyrics
- money shit - db.boutabag lyrics
- mila - dzaga lyrics
- gridopedi freestyle - @kesnox lyrics