lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nganya - oksyde lyrics

Loading...

(alex vice)

[okysde: pre*chorus]
kamagera ana mblein
mouthing pupu kulilia vako kwa nganya
macho ni nyanya
nilim*show afanye kitu anaweza fanya
alitujaribu drama
bana ikabaki ameweka lawama
pesa nyang’anywa bila kudanganya
of course alipigwa manganya

[oksyde: chorus]
masoki na mbata changanya (nganya nganya)
mateke kushinda adesanya (nganya nganya nganya)
chulale nahanya
mtoto ni premium dranya (nganya)
bubu game we still move in silence[?]
yeah lasagna

masoki na mbata changanya (nganya nganya)
mateke kushinda adesanya (nganya nganya nganya)
chulale nahanya
mtoto ni premium dranya (nganya)
bubu game we still move in silence[?]
yeah lasagna
[verse 1: oksyde]
drama ndani ya nganya ya 5/8
makanga alipigwa na hook na teke ya size 8
full in feelings na mahisia
umekuja kunishukishia
bondeka ma sura ni za kutishia
na tunadondokea mat tukiishia
jeshi imezoea kukula haramu
name it, еxtortion
take precautions, anti social
nyongi nasare (nyongi nasarе)
nusu ikibaki nairaukia ngware
mbogi ni nare (mbogi ni nare)
nusu ikibaki kuwapiga vibare eey
i’m running the hood
ungem eastleigh to pango
no body be plugging
whatsapping in the streets
ka haipitii kw*ngu
chapa na chok, shada na coke
monday na talk
kaa rada ya cops, koto anakata ma*locks
tops badder dan most
kusema na kutenda
kikidhani nacheza
weka hio meda
nìkì ùredaa
eey mpaka wa leo
kamagera ameweka lawama
after hapo alipandishwa cheo
siku hizi anakuw*nga makanga
[okysde: pre*chorus]
kamagera ana mblein
mouthing pupu kulilia vako kwa nganya
macho ni nyanya
nilim*show afanye kitu anaweza fanya
alitujaribu drama
bana ikabaki ameweka lawama
pesa nyang’anywa bila kudanganya
of course alipigwa manganya

[oksyde: chorus]
masoki na mbata changanya (nganya nganya)
mateke kushinda adesanya (nganya nganya nganya)
chulale nahanya
mtoto ni premium dranya (nganya)
bubu game we still move in silence[?]
yeah lasagna

masoki na mbata changanya (nganya nganya)
mateke kushinda adesanya (nganya nganya nganya)
chulale nahanya
mtoto ni premium dranya (nganya)
bubu game we still move in silence[?]
yeah lasagna

[verse2: scar mkadinali]
g*nika ni waya, jako ni ya kuombaga
lakini kicks nganya
dranya manyanga tushakosana
huyo ni ex*nganya macho ni nyanya
jaba ya jana hizo pang’ang’a ni za kawa
makanga aligwaya akabonga na mbang’a
hivo ndo alianzisha beef nganya
so mwisho ni kwake
nilisema hawababei kwetu
we ni type ya kutemewagwa mate
ukileta hapa hizo ma gang gang (hatchu”)
ilibidi nimepigia mamake “your kid is a b*tch!”
“umuonyeshe babake”
the new rong edition kwa market
hizi hauzipatagi na wasee
vibe imeweza na guinness mbili
hali duni in the building
bado hapa kenya mi ndio nina ngoma
imefanyiwa remix mingi
buda nani kama mimi?
hii ni ya all fans wameni*miss mimi
wanauliza album nita*release lini?
mara ngapi nimeangusha hizo limits chini
wakidhani mimi nitabaki tu kujulikana mjini
aah niliskianga story
wanauliza hawa maboy ni kina nani?
sisi hizi hatuwaiti maponyi
ah*ah ni watoi wa matiang’i
mi nalia vako kwa nduthi
hii rende ni rong mi stoki sijali
baada ya hustle nikirudi
nachoma kindom kenye shawty amesanif
[okysde: pre*chorus]
kamagera ana mblein
mouthing pupu kulilia vako kwa nganya
macho ni nyanya
nilim*show afanye kitu anaweza fanya
alitujaribu drama
bana ikabaki ameweka lawama
pesa nyang’anywa bila kudanganya
of course alipigwa manganya

[oksyde: chorus]
masoki na mbata changanya (nganya nganya)
mateke kushinda adesanya (nganya nganya nganya)
chulale nahanya
mtoto ni premium dranya (nganya)
bubu game we still move in silence[?]
yeah lasagna

masoki na mbata changanya (nganya nganya)
mateke kushinda adesanya (nganya nganya nganya)
chulale nahanya
mtoto ni premium dranya (nganya)
bubu game we still move in silence[?]
yeah lasagna

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...