yanga bora - og.ts lyrics
yanga bora
intro
wananchiiii
chorus
kiukweli nafuraha
kuwa mwanayanga
mtaani nina tamba
yanga bora yanga bora
bora yanga go
wapinzani wameforola
wanaomba po
walidhani tutago down alivyoondoka nabi na mayele wakadhani
mara oh wamekwisha
alivyoondoka na manywele mziki wakapiga
sijui walisahau president president harsi is still alive
sijui walisahau vice arafat haji is still alive
(walioondoka si ni moto
waliokuja ndio moto zaidi
moto wao sio wa kitoto
jichanganye ukutane na 5g)*2
kiukweli nafuraha
kuwa mwanayanga
mtaani nina tamba
yanga bora yanga bora
bora yanga go
wapinzani wameforola
wanaomba po
sisi ni nani
sisi ni yanga
sisi ni nani
sisi ni yanga
sisi ni nani
sisi ni yanga
sisi ni nani
sisi ni yangaaa
levels on levels we goin to the top
speed ya kibunga and we never goin stop
walisema hatutofika hapa wapi now nauliza tu hapa wapi now
si hatuna mpinzani nono
anaebisha nani no
wanatuweza walidhani yeah
baada ya mechi vichwa chini wamekaa
bad bad usiguse man we bad
waulize wakutell tano kwetu kitu easy
there there tupo juu tumeralax
hutuwezi usipime
utapata stress mwisho uzime
Random Song Lyrics :
- my lost error - prod. jay lyrics
- it's always 9 o'clock (here in my heart) - nick krefting lyrics
- devine qui vient dîner - passi lyrics
- club banger - donzo x mitchi lyrics
- the colour of ur feelings - killveii lyrics
- ligados - pilha lyrics
- 地基街头 (digi ghetto) - digi ghetto lyrics
- und3rworld - b murph lyrics
- wasted time - meezy lyrics
- não ligo pra nada - leo vl lyrics