lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zikishika - octopizzo lyrics

Loading...

ni kirubi cheki capitol toka ghetto mi si barbie joh
rada chafu carry it though geng itakucarry though
bob bob ita collymore koko hora mi ni horrible
niko mbele cheki horizon lamba lolo pewa lollipop
bob marley tuko corridor
nyama wengi cheki pori,bro
pizzo the king ngori, you
f-ck popo mi ni radical
ambia pastor a bow down
nikitema mi ni cardinal
mdogo dogo hii ni kadio
twining mii oppio(oppioo)
zikishika wika wagwan
(zikishika, zikishika)×2
zikishika wika wagwan
(wika,wika)×2
chura mbaya wee ni tadipole
sura mbaya lakini debe joh
ramadan shingo padilock
kura iba lakini sembe noo
niki pull up toka nduthi yoh
chini ya maji pewa sushi mob
la kijana anatry kilunirob
niko mbele yao sana…
wanipati hata dawa
bob marley na versace
pewa moshi miti dawa (pewa)
niko maji kila siku
mimi juu mi ni shower
kabla uoge kwanza manga
stay fly ni mabawa
nikilearn wabagwaya (rhumba …)
zikishika wika wagwan
(zikishika zikishika)×2
zikishika wika wagwan
(wika wika)×2
vintage hii ni kaya
zako sawa zangu mbaya
darisalaam mi ni london
paris fashion cheki pattern
zikishika wika wagwan
kiti shika kama wee wanywa
viti sima kama wee wala
nchi nzima mi natajwa
light skeen wee ni wala
hii ni jela skiza bars man
seti vela shika lightera
kushoto nina right man
chini ya waba mi ni t-tan
saa mbaya cheki timeline
nikichana mi makosa
mihamwezi bila cosign
niko wavy zenyu low tide
hamniwezi soma profile
delli pope mi ni locker
cheki boots zangu loocker
zikishika wika wagwan
(zikishika zikishika)×2
zikishika wika wagwan
(wika wika)×2

end

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...