wewe - octopizzo lyrics
[intro]
it’s 8town
welcome to octopizzo ministries
pizzo de
si unajua venye si hufanya bana
8town
pizzo de what
king
skiza skiza nyonyi hapo hivo kando
ukicheki huyo mrembo umuambie wewe
siku nyingi nimekurada wewe
wewe msupa wewe
[chorus]
ni wewe tu baba
ni wewe tu
ni wewe tu octo
ni wewe tu
baba yetu
[verse 1]
bars ni ka nimehepa jela
uliza nani number moja
kila siku wanangoja
hizo zingine vuvuzela
zangu piga acapella
murder beats well wella
zangu daily saka hela
nani ametoka yolo
tena huskii narudi morro
buda seti washa hio koro
wuod nyaboro, bade dongo
king wa rap hapa nani
sitoi rangi hizo gani
sura ngumu mi ni chali
presidential niko rally
nasa hao kila mahali
[chorus]
ni wewe tu baba
ni wewe tu
ni wewe tu octo
ni wewe tu
baba yetu
ni wewe tu baba
ni wewe tu
ni wewe tu octo
ni wewe tu
baba yetu
gang gang
[verse 2]
baba yetu aliye kibera
jina lako litukuzwe
ufalme wako na ufike
pizzo de king and you know it
gang gang
wewe wewe wewe
nawachenga maradonna
chini yangu hao door mart
bila tailor tumeshona
ule mbleina nili*murder
hana mafans siku hizi
wale wote ni ma mourners
tunachana wapi gomba
kila siku niko sober
nane massive tuko doba
shika nare mi ni copper
uliza huzzy wa size 8
atakushow mi ni toppa
ikikuja ni mangoma bana
mi hupatia ma dj more
zangu zinatoka na album
album yako ni ya picha
na picha yenyewe ulichoma
pizzo de king mi ni noma
ballin’ mi ni kobe
dry clean mi ni dobi
naji*nice hii ni hobby
nikicheza chini niko lobby
ukicheza chini uko mopping
original we ni copy
[chorus]
ni wewe tu baba
ni wewe tu
ni wewe tu octo
ni wewe tu
baba yetu
ni wewe tu baba
ni wewe tu
ni wewe tu octo
ni wewe tu
baba yetu
[verse 3]
kibera namba nane ngori
kaa rada cheki pori
bow down sema sorry
king king hapa nani
ambassador hapa nani
billboard pale nani
mulla kila siku nani
tumeunga bila unga
walami daily nina lugha
macho lazy niko ngunga
teke teke luong olunga
waki*catch sema tena
tena tena
waki*catch sema tena
weuwe weuwe weuwe
king pizzo
eight
ingine
Random Song Lyrics :
- ironic - beeby lyrics
- soccer mom swag - provocative stag lyrics
- amarte es genial - marisela lyrics
- antes - los primos de durango lyrics
- santa destroy! - ezo lyrics
- safe & sound - sam tsui lyrics
- gutterquarter - pinguin mofex lyrics
- alles op alles - hef lyrics
- 1 train - z-mane & armyboy lyrics
- verbrannte erde - jaw lyrics