wapi compe - octopizzo lyrics
(cashmoney ap)
pizzo de! 8 town, 8 town
8 town, 8 town…
safi sana…safi sana
safi sanaa
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
wapi compe? buda wapi compe?
wapi compe? buda wapi compe?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe
wapi jonte? seti gode
asha vela kamewaka sana tuwachome
staki c*cktail niko choche
bila bob ambassador mi ni godec
pole pole, tuko colle
mi naball wakiomba mi ni soteee
duffle bag dreams, zako bad dreams
drip drip buda cheki wet dreams
sl!ck on deals, skiza my rap sk!lls
i gat thugs lawyers cops in ma gang
magazine i make headlines when i bang
uliza headmaster i gat the bag
me ndio headmaster open ya legs
l!ck till nikuache ukibeg
sishiki simu round this msupa ni text
emoji s*x, ebony next
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
wapi compe? buda wapi compe?
wapi compe? buda wapi compe?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
geuza left (skrrt, skrrt) cheki ni dent
unguza rent, landlord cheza na set
burn cheki na melt
btch wewe ni pet
drip mimi ndio vet
splash, cheki uko wet
duster chapa ni less
dinner supper late
looku ni pamba chapa wakanda
samba mapanga, wote nakataa
tokaga rubber, msupa choraga saba
eh lolo utalamba, kenya hakuna matata
pizzo de king and you know it
wananiita mr mr mr black santa
santa santa santa
trees trees, mambleina wananiuliza
wee ni mti, aje? wee ni mti aje?
huwezi rada buda ju wee ni mtiaji
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
wapi compe? buda wapi compe?
wapi compe? buda wapi compe?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe
westside who you wit?
eastside who you wit?
northside who you wit?
southside who you wit?
westside who you wit?
eastside who you wit?
northside who you wit?
southside who you wit?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe?
wapi compe? buda wapi compe?
wapi compe? buda wapi compe?
me si complain, mwaga champagne
ju yao kila mwaka wapi compe
Random Song Lyrics :
- diamond lake - jeremy loops lyrics
- 2d girls - shuvo kumar chowdhury lyrics
- uang - via vallen lyrics
- lass die waffen sprechen - blokkmonsta & uzi lyrics
- тишина (silence) - omnixx lyrics
- game over - curly savv lyrics
- non basta - androgy̆nus lyrics
- down the nempnett thrubwell - the wurzels lyrics
- facts - josef franch lyrics
- 2d игра (snippet) - zxcshaid & skinny diana lyrics