sitaki - octopizzo lyrics
sitaki, ma moria wa kuchachisha
sitaki, ngoma za kubahatisha
sitaki, photographer anachoma picha
sitaki uongo za makanisa
siku ya valentines ndio mi hua naua ua
niko sure sure ka hauka rada bana manze kua sure
germany usa ni tour tour
jua jua imechoma lakini nikidrip naua jua
shimo mbili na sibongi pua pua
ghetto king maskini wanadai mi ni poor poo*ur
msupa kabla utoke manze kua sure
vua vua cheza na don then fua fua
saloonist venye nasonga
nadinyaga ma points nikibonga
ambia iola ni pizzode na anadai
kuna venye ako na tiba ya ile kidonda
staki friday manze what you up to?
staki nichukue cab utalipa boo
stak! backstage ka unakaa unafika bei
na backstage nina wasupa wanabonga shen’g
gang! gang!
sitaki, ma moria wa kuchachisha
sitaki, ngoma za kubahatisha
sitaki,photographer anachoma picha
sitaki uongo za makanisa
staki staki staki,kwa hizi streets pizzode
wanadai bado mi ndio starking
barz on barz coz wameshinda wakinishtaki
kamiti gang utajiteta ukiwa wapi
walami, wanadai mbona nawapenda
wamesahau hao ndio walipatia uhuru kenya*tta
nineteen sixty free
hadi leo still uski bado sijawai feel freedom kwa hizi streets
nineteen sixty threesome
ghetto university intelect si degree
mfugwa mtumwa tangu handshake wengi kuna
venye waliachaga kukula chungwa
mkubwa suk*mwa lakini ukiingia area zangu bana
itabidi umecheza ndongo
niko njaa man, nanikicheki fiti food imej*pan ni
chicken teriyaki
staki! kunishika ju nduku
staki! wasani hawapigi luku
staki! kuletewa ugali bila supu
staki hizi siasa za mangata
sitaki, ma moria wa kuchachisha
sitaki, ngoma za kubahatisha
sitaki,photographer anachoma picha
sitaki uongo za makanisa
soma soma ni pizzode na ngoma noma
ngoja ngoja kuna beef ni nyama choma
icu washanicoma
chebukati ana sweat na bado hatutoki bomas
mapenzi maua
na bado yaua
niko watamu mtuangu nakula halua
kelele zingine apana tambua
kuja 8town watakusho pizzo ni sumbua
daily ni gomba sober
roots na culture doba
piga magoti omba
p.l double z god mc
always right even though mi lefty
na niko lowkey!
sitaki, ma moria wa kuchachisha
sitaki, ngoma za kubahatisha
sitaki,photographer anachoma picha
sitaki uongo za makanisa
tukipatana wewe usema una harakaa
ya nini unitese bila sababu
fikiria kwa makini ninayo sema mama
usiniweke kwa hali mpenzi wee
aye mama ye!
Random Song Lyrics :
- meripihkahuone - j. karjalainen lyrics
- gang - leechy boi lyrics
- dove il cielo cade giù - massimo di cataldo lyrics
- merry go round - globe lyrics
- dirty dance (with lil ayo xo) - orchestrate96 lyrics
- speak to me - the vocoders lyrics
- sieve - foetus lyrics
- the glitter prize - the posies lyrics
- laulan mere maaksi - diskreetse mango trio lyrics
- wig in a box - the polyphonic spree lyrics