lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rada ni gani - octopizzo lyrics

Loading...

pizzo de
gang!
8town
yea ye yeye ye
eh jo ambia ile raia ya bethlehem bana si tuko gaza
si tuko ga si tuko gaza
ye ye
rada ni gani
rada ni gani
rada ni gani
pizzo de
8town
ka unadai mziki ni mchafu
ka chini cheza ndogo rada ni chafu
ka unadai mziki ni chafu wee
ka chini cheza ndogo rada ni chafu
rada ni gani?
chafu chafu chafu chafu sana
rada ni gani?
chafu chafu chafu chafu sana
rada ni gani?
chafu chafu
rada ni gani?
allahu akbar rada ni kanzu
ingiza ndani rada ni curfew
ngoma mpya inatoka lini cheza na itunes
kibera ndani quran somaga mathew
ambia john mark na luke walete perfume
vacuum niki nut cheza na cashew
youtube finya play ongeza eye views
ivy league rapsta ongeza iq
hii ni brand new
coup dreams
mood swings
no strings
pizzo de king king
mr ching ching
chinatown demigod niko beijing
sina sauti kwa soul
suti za mall
mada navuka roho
shada nacada kwa koo
weight nakata kwa choo
striper kujana polе
toka na ball
ndom pedi na roll
kuja na bong
ka unadai mziki ni mchafu
ka chini cheza ndogo rada ni chafu
ka unadai mziki ni chafu wee
ka chini cheza ndogo rada ni chafu
rada ni gani?
chafu chafu chafu chafu sana
rada ni gani?
chafu chafu chafu chafu sana
rada ni gani?
chafu chafu
rada ni gani?
tеma natema natema natema wape ketepa
msupa anasema ntasema ntasema kama anahema
mi siogopi then mbona unahepa
leave me alone nacheka nacheka
kila day niko kazi hadi labor day
shika ball 9 months msupa labor day
cardi meda day
burn it reneged
waka ipepete
hadi iteketee
papi chulo don don pizzo anyday
skiza barz brainstorm hii ni rainyday
anyway mi umek doo in many ways
pedigree nina dogs in every place
mediccate mbwa in kali in every gate
chini waba daily coz navigate
kabla unigote, kuja na form
ambia hao wasanii wameka kwa bench
wajazage form
mariga bado na ball
unaringa utapata ball
wrong namba bado na call
ka unadai mziki ni mchafu
ka chini cheza ndogo rada ni chafu
ka unadai mziki ni chafu wee
ka chini cheza ndogo rada ni chafu
rada ni gani?
chafu chafu chafu chafu sana
rada ni gani?
chafu chafu chafu chafu sana
rada ni gani?
chafu chafu
rada ni gani?
pizzo de!
you know it you know it you know it
gang gang!

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...