lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wanahepa - nyashinski lyrics

Loading...

[intro: collo]

nyash.. shinski mazee
it’s your boy collo i’m trying to holla at you, natry kukureach lakini uko voicemail…

[nyashinski]

alright, ni turn yangu
nyashinski hehe
mwanachama x3 (ccliv) kaune, yeah
yey yey!

[verse1: nyashinski]

wanachama hatubangaizi
hata kwa kibanda tukisaga miti
“arga city”
bado akili ina storm tukipanga vipi
tutatake over hii industry ya wanamziki
uliza ninho, u.b tuko maskani machizi
ugatuzi ace, lo, craa, kala, ulidi
bamba kiti, weka msamba chini
nel ama casper akupitishie kaa tharba mbili
kutema hivi sio swali inatakanga tizi
ni tamu na ni kali kama tangawizi
actually si ukiona juma-arap-tatu mwambie kabla hii ijumaa al-hatuhami-sisi
maria maria maria maria (ooh oh oh juu ya vumbi)
macho nyanya juu ya vumbi si mjani
usituenjoy, we na maria hamjuani, ham ham juani ham whoo
(hum hum hum hum hum hummm)
argh usinitry alhamdullilahi
salaam ni wasalaam aleyk-m warakhmatullahi
nachukua ploti kipchumba/keep chumba argh
niko on point utadhania nafuata kidole cha gumba argh
nageuza rumba to shule ya gumbaru
legacy yangu size ya trailer f-ck sub(aruu)
tulidanganywa tuu-tapata kuhamia majuu
kwenda kwa emb-ssy application wakatuambia “duu!”
cardigan na digaga gloves na balaclava
add abracadabra nageuza rapper cadaver
supper sk-ma na sili ma maini na pia
nataka msupa ana sura kaa ya chidinma yea

[hook: nyashinski]

cheki vile mbio wanatoka(kaune), kila time nikishika microfoni(uh uh)
waeza jionea jo si siri nawa murder
kila time nikishika microfoni
na ndio maana masela wanahepa
wanahepa wanaheee
na ndio maana masela wanahepa wanahepa wanaheee

[verse2: nyashinski]

ero, alo, ha
nagoo so hard, sober, sitaki steam
syllabus inaniheshimu uliza malkiatt singh
ma-syllable zinanitii mi ndio marking/macking scheme
chini ya maji lakini i hope mafan haoswim
utakataa kununua hii mziki nawauzia tu juu
uliambiwa haikushiki na chimwani obiajulu
siku gani utaanza kujiamulia ni nini kali nini mbaya bila kutegemea opinion ya mtu?

[bridge: nyashinski]

yesterday, standing by the river
you heard the shepherd say, “it’s good for you!”
did what the shepherd say make you a believer believer believer?
cause all the sheep now say
they like it too
so tell me are you one of them?

[verse3: nyashinski]

chali flani alijipata ndani ya bar
kwa hiyo bar kulikuwa na manzi na huyo manzi alikuwa amekaa
karibu na counter mahali bar tender atamwitikia masaa
ndio aki-order hakuna kungoja plus hakuwa na jamaa
jamaa akamwona akaona niaje, “wacha nikaongee na huyu dadaa
unaweza tell ako independent ukiangalia vile amevaa
na kaasigara na mascara pants na shati bila bra
wacha nitest nimwombe dansi atakubali atakataa?”
kabla aamke akaanza kujishuku mashallah
zile za’ “i’m sure amenijudge amecheki huku vile nimevaa
na plus namwona akiangalia ule footballer kutoka far
pia mi nashuku saa huyu demm amekuja raha, amekuja mraa?”
ah hidhuru akaamka akaanza k-mwelekea mamaa
roho juu ka mwanaume step by step kaa mbaya mbaya
roho inagonga ni kaa ameitwa ofisi ya mmwalimu juu ya mbagaa
kufika akamsalimu je alikubali ama la?
kaune
si we ni judge umejudge huyo boy huyo boy alijudge huyo manzi huyo
manzi alijudge footballer…

only god can judge me

[hook]

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...