lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tunnel vision - nyashinski lyrics

Loading...

[verse 1]
money please come follow me
nifuate na usichoke kuzaa ujaze mkokoteni
ukinitaka unikose nikuwe wapi? shopping spree
bag za shopping zote ni designer ni ka nina ocd
na go hard ka ku[?]
mi kufall off hio ni otory
nyash hu*rap ka n0body
wanachoma picha constantly
mi nataka tuishi comfortably
nmekuwa niki*lay low, nikitry kujenga economy
rap imekuwa comedy, rap imekuwa comedy
wow, unadai aje rada ni g*, rada ni gani?
sema ziwake, ngoma inapiga kama kibare
nilitoa “free” ukabaki umesare
get it? free, sare
kwa shingo waya hatari
niko on fire kaa matofali
[hook]
nishaifanya, already niko
we’ kuwa wewe kama kochali
saa ile utaiona ndo utakubali
tumetoka mbali, shin city ni maridaadi (ni maridadi)
na*take time yangu, nakupa kitu kali joh
mumeongelea for years
msee ata*come awaonyeshe immaculate ideas
na*hope uone ni possible ku*match venye na*think
hakuna kitu hatuezi do, hatuachi ship isink
kutrust na kubelieve na uingie waks na u*do it big (alafu)
last but pia not least (ni nini)
have no fear no please trying to [?] for this
ni more than yako natural
so we jua hapo unaongozwa
city imejaa na mataa na vibes tena kwa sana

[verse 2]
yeah
uko kwa ring una*fight na thoughts za kuwachilia dream ina*cause too much
it seems utaenda loss you can’t believe unabeba hii cross too bad
unak*mbuka god ndio boss so story za loss hio ni “nuttin nuh go so”
ukipata unasaidiana of course makosa ni kuosa solo
ukiosa ma*tax ni normal, hakunanga break kwa loyalty
hakuna baraka kwa uchoyo, toa hio kabisa moyoni
reefer inawaka ma idea zina flow
inspired na projects za kuwacha legacy
si kitu nafanyia doh
kaa ingekua hii matter haingekua inamake sense to me
just reality, kisha baranks
nataka tu kuona ukidance
nataka tu wakupe chance
natuma salamu kwa gunz
kaa nishai kuangusha ni once
kaa sijawai kuangusha relax
mahali sitawai kuangusha ni bars
[hook]
nishaifanya, already niko
we’ kuwa wewe kama kochali
saa ile utaiona ndo utakubali
tumetoka mbali, shin city ni maridaadi (ni maridadi)
na*take time yangu, nakupa kitu kali joh
mumeongelea for years
msee ata*come awaonyeshe immaculate ideas
na*hope uone ni possible ku*match venye na*think
hakuna kitu hatuezi do, hatuachi ship isink
kutrust na kubelieve na uingie waks na u*do it big (alafu)
last but pia not least (ni nini)
have no fear no please trying to [?] for this
ni more than yako natural
so we jua hapo unaongozwa
city imejaa na mataa na vibes tena kwa sana

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...