lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

malaika - nyashinski lyrics

Loading...

[verse 1: nyashinski]
uko na tabia za kupendeza roho
tabasamu ya kupapasa macho
sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo
urembo wako ulininasa roho
siku ya kwanza kukuona kwa macho
sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo
and i feel you in my air when i breath
i see you in my dreams when i sleep
you are the one i have been waiting for all my life
deep down my heart i believe
unanifeel, nakufeel, hii ni real
the one i have been waiting for all my life

[hook: nyahsinski]
uko sawa na wote malaika na mabawa yao
wote wanakuiga we ndo mama yao
ni wewe nachagua sisemi nao
sisemi
oh baby
uko sawa na wote malaika na mabawa yao
wote wanakuiga we ndio mama yao
wewe nachagua sisemi
oh sisemi
oh sisemi

[verse 2: nyashinski]
and even though i’ve never been here before
somehow i know that this is how it feels to fall in love
baby you know i love you
i place no one above you
i need you in my life
forever and ever
you will always have my heart
we were meant to be together me and you
oh me and you
yeeah

[hook: nyashinski]
uko sawa na wote malaika na mabawa yao
wote wanakuiga we ndo mama yao
ni wewe nachagua sisemi nao
sisemi
oh baby
uko sawa na wote malaika na mabawa yao
wote wanakuiga we ndo mama yao
wewe nachagua sisemi
oh sisemi
oh sisemi

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...