lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

glory - nyashinski lyrics

Loading...

[intro]
yeah, yeah

[chorus]
yeah, glory si hupea god, lawama, shetani na bangi
ma*member hurudi home, na*hope pastor anaenda na ganji
small talk yuu hukuwa job, ubaya ni hailipangi (yeah)
nime*maintain, najisikizia, msiniite kaa hamnikanji

[verse 1]
hii ni miracle, baby, naona ni kaa mnani*dare
mahali nilikuwa, mi sikuwa ata na*care (uh)
pembe zao zikaanza k*mea
saa wakinitaja, nakuw*nga aware
clout wanatafuta, naweza wapea
lakini sitaki, so siwapei, wata*learn kujitegemea
usi*confuse ile ujuaji nakuona nayo na confidence
kama usha*change na unapewa lift, sijui utakuwa nani uki*buy ki*benz
kaa usha*forgive, usiwahi revenge
kaa huwezi swim, usi*dive deep end
we ji*convince unafanya kazi, mi niko kazi, we jali ku*trend
i’m dope like who you imagine you’re dope like
who you’re discussing at home like
take over game bila cosign, most of my day niko offline
na*live life wana*rap (yeah)
fyi, sina whatsapp, but kuna wi*fi na kuna bag so
[chorus]
glory si hupea god, lawama, shetani na bangi (uh*huh, woo!)
ma*member hurudi home, na*hope pastor anaenda na ganji
small talk yuu hukuwa job, ubaya ni hailipangi ([?], yeah)
nime*maintain, najisikizia, msiniite kaa hamnikanji (this one’s for [?])

[verse 2]
sijawahi do cocaine, sijawahi dunga vein, mokoro hafai ku*complain
tangu niende solo, si life ime*change?
style iko juu, ata kaa t*sho ni plain
unasaka doh, unaona tiko ni fame, ubaya tu mwisho ni pain
mmetii tangu niingie game, na hapo tu ndo mna*remain
society iko hapa ina*blame shida za society kwa mary jane
na kitu society inahitaji main, ni kuepuka poverty na hizo ma*chain
mnafunga wa*junior nazo kwa brain, na juu sio za chuma mnaona ni game, uh
mnaogopa kukuwa irrelevant, hiyo mi nishaji*train
fu*

[chorus]
glory mi hupea god, lawama, shetani na bangi (uh, woo!)
ma*member hurudi home, na*hope pastor anaenda na ganji (hey!)
small talk yuu hukuwa job, ubaya ni hailipangi
nime*maintain, najisikizia, msiniite kaa hamnikanji (yeah, yeah, uh)

[outro]
i’m sorry, i might’ve missed your call, mi sivutangi trees na bong
nimekuwa mkali since day one, siwezi badilisha form
expert, pay me in cash
hii next part, nimeisema so much inafaa kuwa singalong
kaa hunikanji, mi si*perform
team mzima ina*celebrate like we planned it all along
bado tuna*elevate, jua tu saa hii, we’re far from done
visions niki*meditate, najionanga number one
na hii hapa si democracy, and my time in office just begun
glory mi hupea god

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...