dopamine - nyashinski lyrics
[verse 1]
tunaget high kuji*entertain, au kuficha kapain
sema wallahi na unadanganya, life najua itakucane
peace of mind ndio kitu hawana, try kutuliza brain
naficha white nalipwa na fame, najua wanaskia kujimurrr, uh
utaona disguise zikianza kufade, na time utaona tuchange
watatry kusema walik*make, (cl!ck), si w*ngejimake?
patience ya mine, huwaga inafail, unahaharibu vibes unatupwa njei
unaskia nalight, napuliza jay, najua wanaskia kujimurrrder
[chorus]
days za mine of late zote ni holiday
mulla ni loong, nacheka na confidence
nakimbiza dopamine najua kuna consequence
but, mulla ni looong
days za mine of late zote ni holiday
mulla ni loong, nacheka na confidence
nakimbiza dopamine najua kuna consequence
but, mulla ni looong
[verse 2]
naona masmile, naona maface, zingine familiar zingine naguess
blessed vile huwezi amini nimeshinda siku mzima nafinya refresh
fresh narap kaa mimi hakuna mtu mwingine na*try kuimpress
yes, nacheka na nyinyi, nikichezanga chini juu nacheza chess
kwa life ya mine we ni guest ukitoka jua kuna next
ukiskia tamaa hiyo ni flesh, ukiishiwa jua we ni ex
niko on my grind kaa crusher naplan hadi time ya kurest
pass bag hii side kaa usher, skia bars, hiyo ni nairobi west
[refrain]
you just wanna feel something
(just wanna feel)
[verse 3]
maybe ni mimi, ni fame ama nini?
watiaji ni wengi, maflow ni baridi
mashow ni wazimu, madollar ni mingi
nikidai naeza bini ni bini ni bini
ukishakata simu nishashika ingine
mwaka imejaa kwa flyer ni mimi ni mimi ni mimi
ushaona kakitu na hujaona ata kitu
maybe ni mimi ni fame ama nini?
watiaji ni wengi maflow ni baridi
mashow ni wazimu, madollar ni mingi
kwa flyer ni mimi
ni mimi, ni mimi, ni mimi, ni mimi
[chorus]
days za mine of late zote ni holiday
mula ni loong, nacheka na confidence
nakimbiza dopamine najua kuna consequence
but, mula ni looong
days za mine of late zote ni holiday
mula ni loong, nacheka na confidence
nakimbiza dopamine najua kuna consequence
but, mula ni looong
Random Song Lyrics :
- don’t let my baby ride - o.v. wright lyrics
- no more - future is offline lyrics
- maybe because it's over - cindy savalas lyrics
- deeper meanings - dave tsimba lyrics
- is it me - ivory rasmus lyrics
- ikram qazi - zain ki bhan ki | zain ul hassan diss | - ikramqazi lyrics
- thick georgia woman - elizabeth cook lyrics
- outta reach - josey joe lyrics
- you come around - sen morimoto lyrics
- gemini - skyler rossa lyrics