born sinner - nwn the lyrical j cole lyrics
verse 1 (nwn)
kila nachofanya kwenye maisha nahisi nakosea/
sipendwi na wadau wanaiona kama napotea/
nimezaliwa mwenye dhambi kwani si mkamilifu/
siwezi kunyea kambi, always me mdanganyifu/
nishazoea kuamka, sunday bila kwenda church/
kutwa napiga misele, muumba simtaki/
nakaba, naua, naiba na kutubu sitaki/
najua nitakufa ipo siku nani atabaki/
born sinner, since day one to be here/
natambua makosa nayofanya ila moyo subira hautak/
sina cha maana mpaka sasa uhuni nimeubeba mabegan/
kutwa na wanawake, nyumba yangu k-megeuka kambi/
nabadili kila kabila na siogopi ndumba zao/
wachache wenye hila wananitafutia sababu zao/
nimeshafungwa kwa kubaka, na matendo machafu/
nish-n-surika kwa kuchomwa kisa, watoto wa watu/
and never tied, am sinner please
hook
verse 2(nwn)
nachofanya ni business at all/
nipe moyo wa ujasiri mikiki niweze scroll/
kama maisha nimeshakosea kwa dhambi nzoinstall/
zinazonifanya nifall/
majuk-mu nayakimbia, na kuk-mbatia starehe/
wengi wananiofia nitafia jela, au mbele ya shehe/
kwa matendo nayofanya hayaridhishi jamii/
kwani navyowatendea, ni kama nimejikana for real/
sina heshima kwa wakubwa, hata wadogo/
lugha chafu kwa umma ukiniudhi nageuka mbogo/
nshawatia watu viwembe na wala sikuona tabu/
mengine naomba nisiseme nikakosa thawabu/
mungu naomba nipokee nakuja kwako…
na makosa nisamehe..me kiumbe chako…kwani
niliwakosesha masomo watoto wa shule kwa tamaa…
kwa kuwaingiza kwenye dhambi mwisho wa siku kuwakataa…
me kuumbe kipya naomba unipokee…
kwako napiga magoti..naomba unisamehe….
Random Song Lyrics :
- let our love grow - matthew bobzien lyrics
- arco íris - mike el nite lyrics
- a+e (alexis raphael remix) - clean bandit lyrics
- i want to live - the darkest of the hillside thickets lyrics
- presion - wisin & yandel lyrics
- każdy dzień - hifi banda lyrics
- di que no me condenaré - camilo sesto lyrics
- super clean/super hard - killer mike lyrics
- joy in heaven - richard jensen lyrics
- cigs in the dark (ft. choob) - colby lafayette lyrics