niko sawa - nviiri the storyteller lyrics
[intro: nviiri the storyteller]
(ohh, mmh)
ohh
what a waste
oh, lord
the storyteller, ayy
[verse 1: nviiri the storyteller]
what a waste
baby tumejiseti, we on the highway
tukafunga breki, tukaanza bishana
asking, “who is diana? vipi mnajuana?”
i swear tumeji*betray, baby tumejiseti
’cause love isn’t here right now
i guess we’ll never know (never know)
mahali hii story ingeenda
[pre*chorus: nviiri the storyteller]
(tulichoanza) kuja tumalize
(kinachokwaza) baby, ziandike
(punguza drama) baby, zitushike
(washa kishada)
[chorus: bien*aimé baraza]
i don’t wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha namba
najua una*miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe namba
[verse 2: bien*aimé baraza]
bado we husemanga mi ni psycho
bado mi hupiganga simu yako
nili*delete*ingi namba yako
lakini naik*mbukanga kwa moyo, yo
and i just can’t explain
thoughts of you and me keep going up and down in my brain
and you were looking for somе love, didn’t care for the famе
i was looking for a good time, playing the game, yeah, ah
and now you stuck on my name
moving in together, baby, it was never the same
oh, it’s such a shame, kila saa tunagombana
lini tutaelewana? yeah
[pre*chorus: nviiri the storyteller]
(tulichoanza) kuja tumalize
(kinachokwaza) baby, ziandike
(punguza drama) baby, zitushike
(washa kishada)
[chorus: bien*aimé baraza]
i don’t wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha namba
najua una*miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe namba
[outro: bien*aimé baraza]
i don’t wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha namba
najua una*miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe namba
Random Song Lyrics :
- bling bling - wintercastle lyrics
- gong - lovarran lyrics
- no games - ricky p lyrics
- monument - heresy denied lyrics
- m n op - 392 lil head lyrics
- i love lean - akoge lyrics
- sommer - lio lyrics
- кто ты такая (who are you) - юркисс (urkiss) lyrics
- moneyy walkin - ko$antho lyrics
- flow desaparecido - rosy crew lyrics