lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mae wendi - nviiri the storyteller lyrics

Loading...

[intro]
(mmmh)
(mmh, mmmmh) sol generation
(oooh) nviiri, baby
the storyteller, ayy, ayy (ooh, oooh)

[verse 1]
acha nianze kwa kutoa shukrani kwako
malaika amependa binadamu, mimi
na ni nani angewahi dhani nitakuwa wako
na wewe w*ngu, mimi, iyeh, iyeh

[pre*chorus]
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata, oh

[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wеndi

[verse 2]
umenigusa roho, umenifanya kamili
haya mapenzi nimеamini (mayo, mayo, mayo)
naomba nisije kuvunja roho
naomba tusije badili tulivyo
tubaki hivyo
[pre*chorus]
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata, oh

[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi

[bridge]
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho

[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...