lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

pombe sigara - nviir the storyteller lyrics

Loading...

[intro]
oh ooh, pombe sigara
naweza wacha bila kung’ang’ana
lakini hawa wasichana
vile nawapenda
ni kama laana
oooh, sol generation
and that’s how we tell aah
ooh lord

[verse 1]
naskia walevi huota na beer
lakini kuna siri nitawaibia leo
see i’m not addicted to alcohol
i’m not a victim not at all
yalimpata samson
yakampata solomon

[pre-chorus]
situation hugeuka tricky
kila shimo napanda miti
contribution kwa team mafisi karura
eeey, situation hugeuka tricky
kwa hivyoo
msiniweke kamba kwa shingoo

[chorus]
pombe sigara
naweza wacha bila kung’ang’ana
lakini hawa wasichana
vile nawapenda aah
ni kama laana ah

[verse 2]
somebody is cool and not fine
tell them that’s how we tell a heart’s gone down
eti alivunja shingo akalemewa
akatoa fimbo nje ya ndoa
na hivo ndivo alijichomea

[pre-chorus]
eeey situation imekuwa tricky
kuna shimo alipanda miti
na hivi sasa ako kamiti kwa jela
heey, situation hugeuka tricky
kwa hivyoo
msiniweke kamba kwa shingo

[chorus]
pombe sigara ah
naweza wacha bila kung’ang’ana ah
lakini hawa wasichana
vile nawapenda
ni kama laana ah
oooh yeah, yeah

[outro]
pombe sigara ah
naweza wacha bila kung’ang’ana ah
lakini hawa wasichana (maze)
vile nawapenda
ni kama laana ah
oooh yeah yeah…yeah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...