lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bruce lee - nufvnk lyrics

Loading...

[chorus: nu fvnk]
nikidish, unab*tch
nikismile, unahate
hauna reach ya bruce lee
mbona unaongea loosely, unajua we ni newbie

nikidish, (eey) unab*tch (eey)
nikismile (eey) , unahate (eey)
hauna reach ya bruce lee
mbona unaongea loosely, unajua we ni newbie

[verse 1: skeme music, chaleslim]
swipe double tap legeza phone upigwe tapo
f*ck a k!ller cop apigwe ringis
nita kurea muuma
coka kuria uma
wakisosi mali ya umma
on barz kama zuma
newbie kwenye block hauezi bonga hapa ah
ni chale slim, eeh
nimekam na team, yeah
look nimepiga juu chini yote drip
colors mi mkamba ndio maana munatrip

[verse 2: skeme music, jan christian]
na usiniache mini fall niki ball
najua n*gga minimshort kwa industry na stand tall, mini boss
na we unadhani maybe mi’ni msoft
niko chill nina soul kula kula vibe lakini bro usini cross, ah
mbona una cheza na wasupa unawatoss, ah
nika una soni mwako usoni ya makosa
mbogi mzima inaingia club na flying saucer
legeza kiasi we uki blink utani kosa ah, ah, ah, ah
[chorus: nu fvnk]
nikidish, unab*tch
nikismile, unahate
hauna reach ya bruce lee
mbona unaongea loosely, unajua we ni newbie

nikidish, (eey) unab*tch (eey)
nikismile (eey) , unahate (eey)
hauna reach ya bruce lee
mbona unaongea loosely, unajua we ni newbie

[verse 3: nu fvnk]
we ni newbie, me ni big g
big red damu misiogopi
leta beef situtaleta moshi
hio wimbo huendaje? bossy

[bridge: skeme music, jan christian]
mbona ulichoka with your dreams
haunitakii unahate on mine
ona nikisonga naishi fiti
hizi dreams me nilidesign

mbona ulichoka with your dreams
haunitakii unahate on mine
ona nikisonga naishi fiti
hizi dreams me nilidesign
mbona ulichoka
ona nikisonga

mbona ulichoka
ona nikisonga

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...