lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mynm - nuffa manu23 lyrics

Loading...

[half-hook;nuffa]
oh! yes!
tumekuwa mabeste
tangu ps2 na saii ni wireless
nakutakia the best
hii ni kitu singetext
sisi wote tuko blessed but i have to confess
manzi yako ni..

[verse 1]
georgous/ oh my gad, niko honest juu ya huu docko/
wako jo problems ni ndogo unless uko na mtoto/ wa kando, watatek action on/huyu msupako/ buda ukizibaa kaa ukijua kuna kaboyboy/
kanarusha lugha/mpaka astep foot kwa nyumba/
uh! yako jo/ hauni amini? enda uulize ukuta/
uh zako jo/ ju kaa zinabonga zinafaa kuwa zimemstua/
bila (vako jo)/ unadai wife ama ni msupa international/
baba! hii si siemens ukiicha kwa bara-bara/ati utaipata/
hii ni samsung yenye unaivalia earphones ndo ikidunda ukuwe rada/and i’m just a brother..
..mwenye haezi kukudanganya ukikam na maswali kama/
“huu dem amesmama ama amechapa?”/labda anataka complements na kwako hajapata/ so akisearch for another hakuna haja ya kucatch feelings hapa/ ati

[hook]
oh! yes!
tumekuwa mabeste
tangu ps2 na saii ni wireless
nakutakia the best
hii ni kitu singetext
sisi wote tuko blessed but i have to confess
manzi yako ni mhot
oooh…. stop!!
ni umtreat vifiti ama itakuwa haijalishi kama mume-tie knot
or not
hot 96 ni wahot but wanajua manzi yako ni mmoto

[verse 2]
pedicure,manicure, kila kitu iko clean/
kama kwa club anakunywa gin/
mbona basi unanunua guinness/
mrs wewe ako karibu kuenda missing/
ju ya hawa masponsor(masponsor)/na hawa mafisi/
missing!! ubaki kwa keja reminiscing/ hizi lyrics/
ukam kunitafta kwa ofisi/
missing!! uanze kueka posters kwa mamiti/
so kuavoid hiyo yote nmeona tuahave hii ka-meeting/
oh mimi/siko in this/opp-form/mi ni bro/hizi story ni false/ mi ndo talk legit/
ngori kaa stockin she wore to my homie’s crib/
what is this?/ unafanya na-talk english/
what is this!???
ati aii nilipiga phone nilipiga phone/
(nilipiga phoooone eh)
sijui kama ulikuwa sober ama mandom/
but muandikie song/ ama utaachia wasanii… wa-perform

[hook]

uh,nuffa…..

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...