
hallel - nsiandumi lyrics
[chorus]
hallel
hallel
hallel
hallelujah
[verse 1]
for the lord is good, hallelujah
for the lord is good, hallelujah
he is great in strength, hallelujah
he is great in strength, hallelujah
[chorus]
hallel
hallel
hallel
hallelujah
[verse 2]
u mwema, matendo yako hayahesabiki bwana
u mfariji, watosheleza kiu ya wanyonge
u mwema, rehema zako mpya kila asubuhi
u mfariji, washibisha haja ya moyo w-ngu
[bridge]
wewe u mwema, hallelujah
wewe mfariji, hallelujah
wewe u mwema, hallelujah
wewe mfariji, hallelujah
[chorus]
hallel
hallel
hallel
hallelujah
[ad lib]
twakubariki jina lako wewe ni mungu bwana
mtakatifu
twakusifu, twakuinua
hallelujah
hallelujah
bwana wa bwana
mfalme wa wafalme
uinuliwee
mfariji wa wanyongee
ooh, ohh
hallelujah
ooh, ohh
hallelujah
eeh, eeh
hallelujah
eeh, eeh
hallelujah
Random Song Lyrics :
- twenty - allpot futsch lyrics
- pig father - rozz dyliams lyrics
- do outro lado - cristina mel lyrics
- me quema - paulina rubio lyrics
- simple lang - suy lyrics
- t'étais où ? - kaaris lyrics
- the sing along - nick grant lyrics
- me dejaste - maynor mc feat. big nango lyrics
- dream awake - liv lyrics
- illuminated dream - alexz johnson lyrics