huru - njoki munyi lyrics
nataka nifunguliwe (i want to be set free)
minyororo ya dhambi (from the chains of sin)
niliofungwa niwe huru (that tied me up, that i may be free)
nataka nifunguliwe (i want to be set free)
jela ya dhambi (from the prison of sin)
niliofungwa niwe huru (that tied me up, that i may be free)
nipelekwe mahali palipo mbali na maovu
(be taken to a place far from evil)
niwe najua niko huru (to always know that i am free)
nikitembea katika barabara ya maisha
(as i walk through the journey of life)
niwe najua niko huru (to always know that i am free)
niko huru, niko huru (i am free, i am free)
sababu ya damu ya yesu (because of the blood of jesus)
niko huru (i am free)
nataka ufunguliwe (i want you to be set free)
minyororo ya dhambi (from the chains of sin)
uliofungwa niwe huru (that tied you up, that you may be free)
nataka ufunguliwe (i want you to be set free)
jela ya dhambi (from the prison of sin)
uliofungwa niwe huru (that tied you up, that you may be free)
upelekwe mahali palipo mbali na maovu
(be taken to a place far from evil)
uwe unajua uko huru (to always know that you are free)
ukitembea katika barabara ya maisha
(as you walk through the journey of life)
uwe unajua uko huru (to always know that you are free)
uko huru, uko huru (you are free, you are free)
sababu ya damu ya yesu (because of the blood of jesus)
uko huru (you are free)
tuko huru, tuko huru (we are free, we are free)
sababu ya damu ya yesu (because of the blood of jesus)
tuko huru (we are free)
Random Song Lyrics :
- внутри (inside) - коля раевский (kolya raevskiy) lyrics
- rocket girl - dr. carmilla lyrics
- ненависть (hatred) - вышел покурить (vishel pokurit) lyrics
- mary jane - jag (versatil) lyrics
- housemanez anthem 2 - housemanez lyrics
- nie zapomnij o mnie - sarius lyrics
- i silenzi - pierpaolo lauriola lyrics
- bojomu semangatku - indah permata lyrics
- verden vælter - tobias rahim lyrics
- ganso no dente - lilmike13 lyrics