mawio - njoki karu lyrics
Loading...
[verse 1]
fata mwendo wa jua
kunapokucha
kunapokucha
fata mwendo wa jua
kunapokucha
na kutakucha
[chorus]
eeh
[verse 2]
fata mwezi kwa giza
tarajia, tarajia
fata mwezi kwa giza
tarajia, tarajia
[chorus]
mawio
eeh
mawio
eeh
[bridge]
usife moyo baba
k*mekucha, tazama k*mekucha
usife moyo ndugu
k*mekucha, tazama, tazama
usife moyo baba
k*mekucha, tazama k*mekucha
usife moyo ndugu
k*mekucha, tazama, tazama
mawio
Random Song Lyrics :
- maybe it's you - april kry lyrics
- dr. mad - red sector 1 lyrics
- spin it - ydb garcia lyrics
- lauf - made, baré & biggie68 lyrics
- hannah montana - fan$te - gldr lyrics
- racksss - crimsons red lyrics
- lost in a moment - jaded thorns lyrics
- bx13-30 - big fred & johnny [hamza feat damso & sch] lyrics
- marinero - rocío dúrcal lyrics
- de rodillas te pido - legado 7 lyrics