lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

baki pekee yako - njerae lyrics

Loading...

[intro]

nak*mbuka ulivyosema
ati tena, wanipenda
nikiwaza pia ulivyonitenda
hapo mapema, kunitenda, ah

na nyumbani nishaenda mara kadhaa
wengi nishapenda
nani afaaye penzi langu la ukweli
nishapatana na lines zako deadly
ah, so

[pre*chorus]

don’t take it personally
i don’t think you should be with anybody
naona tu ni afadhali
ubaki pekee yako, so

[chorus]

baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako
baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako
baki pekee yako (pekee yako)
umevunja wengi baki pekee yako
baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako

[verse]

hizi vitu zifanyika, ni pilka pilka
madem ndio ni wengi but ni we ndio naita
hao wengine nilicheza nao
lakini penzi yеnye mimi sitawai sahau

ni ile penzi wе ulinipa mpaka sai niko
gai fafa, sitawai pata penzi kama lako
ni ukweli mi ndio nilitupa rada kucheza nje ya kuhanya
nimebaki na mawazo

[chorus]

baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako
baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako

baki pekee yako (pekee yako)
umevunja wengi baki pekee yako
baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako
[verse 2]

uko wapi sasa?
bila wewe siko sawa nimekosa raha
na najua mabeshte wako wananisemanga
mara waliniona huku, mara waliniona kule
wananiekeleanga bure, uuwi

kile kimomacho, kile kimomacho (nisamehe)
kile kimomacho, kile kimomacho (désolé)
kile kimomacho, kile kimomacho (nisamehe)
kile kimomacho, kile kimomacho (désolé)
penzi désolé

[chorus]

baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako
baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako

baki pekee yako (pekee yako)
umevunja wengi baki pekee yako
baki pekee yako
umevunja wengi baki pekee yako

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...