lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sorry j.k. - nikki mbishi lyrics

Loading...

[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku*miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku*miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k

[verse 1]
yeah, i’m sorry j.k
nimeona tu niseme, mzuka huu niliupata nikiwa juu ‘kijenge
mikopo hakuna tena, huendi chuo kikuu kizembe (uh*huh)
bungeni w*n*lewa, wanabonga tu king’eng’e
wakitw*nga, wanatamba
wakisanda, wanatubu
simuoni tena jay tangu akutane na sugu
scorpion amegeuka ghost face mwema
aliyeota rais atakufa anaitwa godbless lema
r.c. na wasafi, uswazi ma*defender
hapa kazi tu, mtaani njaa kali sio sinema
ka kuisoma tushaisoma namba
ungegombea awamu ya tatu, ungekuwa bora labda

[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku*miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku*miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 2]
ilianza bibi cheka, wengi walikuita babu cheka
hawakujua kua nyakati zinakuja na kusepa
ulivunga wa kibeza kuwa unapenda sana bata
na kiki ka makonda za wasafi kuwafata
wabongo watak*mbuka kwenye sekta ya michezo
mpaka taifa stars (?) nayo ikaonyesha mauwezo
ukaongeza vigezo, nyenzo, matengenezo
leo samatta ndio kinara na hachezi soka la dezo
tuzungumze magazeti (yeah)
bunge wana*edit
hakuna mikakati bwana, k*mbe wana*act
demokrasia, demo*ghasia za field*force
wengi wanahofia ukweli kuwaambia, unju siogopi
ma*benki yanafilisika, madeni yanamiminika
hali imekuwa ngumu hadi wageni wanasikitika
(?)
yaani sio fresh, inatisha
bar mwisho saa sita, sikuhizi hatukeshi kabisa

[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku*miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku*miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 3]
kila taarifa ya habari leo (?)
pesa imepotea kimazingara ‘david blaine
waathirika hawaelewi juu ya mipango ya bukoba
tetemeko ‘wasije kula michango ya msoga
tumekosa, si tupe laana correct (uh*huh)
weka kando chama, tuwe wana*connect
hela imefichwa nyuma ya pazia la viwanda
[njoo?], uone tanzania ya vibanda
uone chafu moja na askari mia wakisanda
chocho za panya*road, mixer pwia, lami, ganja
kuna nyakati niliku*diss j.k
now, i’m calling for the peace, d*mn
we miss j.k

[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku*miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku*miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...