weekend - ngwair lyrics
[intro]
weekend
na east zoo y’all
chemba squad y’all
bongo records, yo
c’mon
[chorus]
kama weekend
ndio tayari ishafika
watu viwanjani wanamiminika
tufurahi kwa pamoja wakati huu
na kwa furaha, turushe mikono juu
kama weekend
ndio tayari ishafika
watu viwanjani wanamiminika
tufurahi kwa pamoja wakati huu
na kwa furaha, turushe mikono juu
[verse 1]
kokote utapo kwenda
siku ya leo ni ya pekee
njoo na unaye mpenda
wote leo tushereke
vaa unavyo penda
mpenzi leo upendeze
cheza utavyoweza
chunga tu usiteleze
ile ki, g*to the h to the e to the t and to the t, ‘to the o (ni ghetto)
kwenye, g weka h, kwenye e weka t, na kwеnye t ‘weka o (ni ghetto)
masеla kwa ma*doo
wote rusha mikono juu, uu
kisha s*m*ni, uuu
kwani wakati huu, huu, wote tufurahi, hey
[chorus]
kama weekend
ndio tayari ishafika
watu viwanjani wanamiminika
tufurahi kwa pamoja wakati huu
na kwa furaha, turushe mikono juu
kama weekend
ndio tayari ishafika
watu viwanjani wanamiminika
tufurahi kwa pamoja wakati huu
na kwa furaha, turushe mikono juu
[verse 2]
yo, kila mwisho wa wiki
kawaida [majani] hutembelea nduguze na marafiki
wazazi, ‘na wabishi na watoto (yo)
ngwair kama kawaida ni club kuruka kopo (uh*huh)
kabla ya slipway (yo), kwanza coco, oh
kwa ngazi ya warembo huku tukipata upepo
kama sina juice mkononi bia ya kopo
p na washkaji kibao wa bongo records (yeah)
siwafaidi watoto wa kiarabu, figure ndani ya baibui, sura imefichwa na hijab
[kessy] amezungukwa na mabinti
siwajui majina mi wote nawaita “sweetie”
kuna ma*doo black, ma*doo white
vivazi ni vi*mini, bikini na jeans tight (woo!)
kila mtu na wake, kivyake
wikiendi babake, mambo mwake, yeah
holla
[chorus]
kama weekend
ndio tayari ishafika
watu viwanjani wanamiminika
tufurahi kwa pamoja wakati huu
na kwa furaha, turushe mikono juu
kama weekend
ndio tayari ishafika
watu viwanjani wanamiminika
tufurahi kwa pamoja wakati huu
na kwa furaha, turushe mikono juu
[post*chorus]
warembo wapo kibao kwenye dancing floor
natamani mmoja wao k*muita, “njoo”
inanibana kauli yangu ya “milupo, no”
oh, no
kachaa naona soo
warembo wapo kibao kwenye dancing floor
natamani mmoja wao k*muita, “njoo”
inanibana kauli yangu ya “milupo, no”
oh, no
kachaa naona soo, oh
[hook]
basi ma, cheza vile unavyotaka
kama kiuno unacho basi we kata
kisha niambie nini unachotaka
amna shaka, utapata
basi ma, cheza vile unavyotaka
kama kiuno unacho basi we kata
kisha niambie nini unachotaka
amna shaka, utapata
[chorus]
kama weekend
ndio tayari ishafika
watu viwanjani wanamiminika
tufurahi kwa pamoja wakati huu
na kwa furaha, turushe mikono juu
kama weekend
ndio tayari ishafika
watu viwanjani wanamiminika
tufurahi kwa pamoja wakati huu
na kwa furaha, turushe mikono juu
[outro]
uh*huh
mziki mnene, six (?)
watu tuko happy big time
weekend, baby
haha
woo!
g (?), east zoo y’all
bongo records
no, no
no, no, no, no
no, no, no, no
no, no, no, no
Random Song Lyrics :
- way 2 trendy - ycb official lyrics
- ahibak - dudu tassa & jonny greenwood lyrics
- hotel - heller lyrics
- o dag, o langgewenste dag - liereliet lyrics
- err.r - ishiki lyrics
- fountain! - gabuislost lyrics
- at da function - ow3n lyrics
- ヌレギヌ (nureginu) - howl be quiet lyrics
- ghosts - hallowed hearts lyrics
- top dog - cras rus lyrics