war kitaa - ngwair lyrics
[intro]
cowbama
cowbama
cowbama
woo!
ha, ni cowbama
ba*babuu wa kitaa
yeah, marco*chali
m.j. baby
holla
cowbama
cowbama
cowbama
yeah, ch*ch*, yeah, hey, hey i mean
[chorus]
[drop]
[verse 1: ngwair]
yo, sim*simmer ‘huu sio muziki wa kupima
who am i? ‘jembe, nalima
kitu gani sina? (uh*huh, yeah)
vocal au vina? (uh*huh)
jina?, hata heshima, sio beamer
mi na hasira ila nime chill out (what?)
ndoto zangu kuja kuishi kwenye villa, ‘ila
kuna wajinga ndio wanataka eti k*mshusha huyu mr (cowboy)
hawajui cowbama ndio surname ya freestyle (haha)
sa vipi watoto wadogo wanataka kupima hizi level?
nawak*mbusha “please don’t **** with the devil
[walio (?) remix, n*gga ni rap]
hata mungu anaweza abudiwa kwa hip*hop
mbona haiuzi?, kivipi isiniuze (uh*huh)
mi nakaza nyuzi (yeah)
wewe kama haikulipi, ni mpuuzi
na east zoo wanaamini king ndio mimi
nnaye wafanya waka*dance kwenye hall ka (?)
a.k.a mimi
(ngwair)
[chorus: drop]
cowbama
wa kitaa
marco*chali, m.j
freaky
[verse 2: babuu]
full ma*d*ckies, ma*converse
ma*khaki, haunitaki, mimi ni gangster haunikuti mchafu
full niko smart, nime nyuti
mitaa ya kati, mi nausaka mnoti
haunikuti nime*ceasе, muda wote macho wazi
natokea uswazi, so usiniletе makuzi
mi ni gangster, n*gga
ila mpole kama twiga
kama unajifanya umepinda, unaiga
mi nakuona mbwiga, wewe uta*dead
kwenye beach kama long, mwisho wa club, tuna bang
bang!
nanoga kwa sana, sina usiku wala mchana
kichwani ma*bandana kama juelz santana
nawakilisha kwa sana na ndio maana mi nachana
ile ki*gangster
mwana, wanadata hadi wasichana
magumashi yanaendelea kitaani, babu mi ndio meya
mperampera na mamwela kitaani ninapo tokea
what?
mi ni gangster, n*gga
[chorus]
[verse 3: ngwair]
ka we ni snitch basi kmamaako ‘kaa mbali
haters juu ya beat ya marco nawaacha chali
wanatupimia hapa nasi tushajiona mbali
kama un*z*ma kwa bapa, basi usiwape misumari
studio kama kwa jay (uh*huh)
daily niko salama
ku*hustle ni everyday, kesho zaidi ya jana
ni ngwair wa east zoo na babuu wa kitaa
yeah (?) dupper zaidi ya mastaa
ndani ya jiji la dar, ndio tunavyoishi
[haina bwebwe] nakushangaa, ndio zetu wabishi
hatakama hatuna cash, fresh
mpango wa kuwaka (?) sio deni, sio kesi
[chorus]
[outro: drop]
Random Song Lyrics :
- zeko-world - lil marc lyrics
- permi$ion - derrius logan lyrics
- el dolor de tu presencia - verónica ávila lyrics
- f - knak lyrics
- poem to a pigeon - shiey lyrics
- jasmine - xpert productions lyrics
- stay with me now - ben eales lyrics
- i disagree - lil cartier lyrics
- revelation - burning image lyrics
- syc - freestyle [1+1] (prod. by laykx) - syc lyrics