mafia - ngwair lyrics
[intro]
k*i*m*a*f*i*a (kimafia)
k*i*m*a*f*i*a
[verse 1: ngwair]
yo, na kaa chini then na reminisce
life ambayo nishapitia mpaka hapa nilipo, ‘sio simple
sina budi mchizi kwenda race
si kitoto, siwezi kuishi kwa ndoto, life isije nipiga ka photo, (kadaa!)
model kitaa, number one hustler
mbishi kwenye sanaa, man ‘niite “mafia”
nipo kitaa kama [demu] na double dutch
dini yangu r.c. ‘kila sunday niko church (right)
namuomba mola nitimize yangu malengo
mi staa, siwezi ogopa scandals
na mama usijali, ipo siku nitakujengea hata mjengo (uh*huh)
iwe kwa kuuza huu muziki, drugs au hata meno ya tembo
kabla sijashtua mazengo (yeah)
nishapinda, ‘mimi sio mgeni wa warembo
so hii vita nitaishinda, na ma*snitch tutaishia kuonana kwa t.v. cause’
kujuana sana ndio kuharibiana c.v
so…
[chorus]
kama uko full na uko juu
wewe (ni mafia)
uwe msela, au sista*doo
basi we (ni mafia)
kama uko true
na una hustle kivyako, una make mshiko
basi hiyo ndio life yako
nawе (ndio mafia)
[hook: ngwair & jay moe]
k*i*m*a*f*i*a (kimafia)
k*i*m*a*f*i*a
yeah
[verse 2: jay moe]
ayo, ni m*a*f*i*a au mafia
au african version ya la costra nostra
na cowboy kama escober na sosa
music ndio businеss, we don’t deal with coca
mi ni hustler kwenye studio, siwezi kuacha kupiga dough
hata ka sijagonga copy daily niko kwenye show
kila simu inapo washwa deal zinaingia more
jina tu biashara tosha zaidi ya soko ‘kariakoo
wenye chuki wanaw*nga, wenye love wanapa sifu
dizaini ya steve wonder siwaoni kama kipofu
mipango kwa siri naipanga chini ya carpet
sina habari, mi nasaka mpunga ‘niite mafioso
naviuza vina zaidi ya powder na tony montana
bidii inafanya sina uoga n*z*di kupambana
iko wazi kama kiusanii [mbakiaji] ntabakia
mi ndio mchizi ambaye fani hii imelala kiasilia
[chorus]
kama uko full na uko juu
wewe (ni mafia)
uwe msela, au sista*doo
basi we (ni mafia)
kama uko true
na una hustle kivyako, una make mshiko
basi hiyo ndio life yako
nawe (ndio mafia)
[hook: ngwair]
k*i*m*a*f*i*a (kimafia)
k*i*m*a*f*i*a
yeah, yo
[verse 3: ngwair]
mi mwenyewe deal (so)
siihitaji ofisi, na bado na saka deal [drop]
sina muda wa kusubiri “maisha bora kwa kila mtanzania”
huku yangu yan*z*di dorora
na ma*don kama abdul na*, nawaita uncle (yeah)
usinipimie babu, hutoniweza ka nako
kwenye game mi ni mzito ka [?]
na mishe zangu zina scratch (chi*ching) ka d.j. (?) (yeah)
hustling ni everyday (so)
ku*make pay, usinione msela kisa jeans zangu kata*k
nilishazama nazo ikulu, we muulize j.k
nishawa (@%#*) watoto warefu zaidi ya lil t.k
na muziki w*ngu una soko hat zaidi ya kariakoo
ma fans kibao, from different area codes
texas, (? chini), geneva, wanaaminia
niite mchizi ambaye fani imelala asilia
mafia
[chorus]
kama uko full na uko juu
wewe (ni mafia)
uwe msela, au sista*doo
basi we (ni mafia)
kama uko true
na una hustle kivyako, una make mshiko
basi hiyo ndio life yako
nawe (ndio mafia)
[hook: ngwair]
k*i*m*a*f*i*a (kimafia)
k*i*m*a*f*i*a (kimafia)
[outro]
k*i*m*a*f*i*a
k*i*m*a*f*i*a
…
kimafia
kimafia
Random Song Lyrics :
- testing - kout lyrics
- n.a.h - cosmos nah lyrics
- gogetback - kailo lyrics
- marupok - d-coy feat. eich lyrics
- maps - a.j. crew lyrics
- watch that tone - j dugs lyrics
- grand mal - david f. bello lyrics
- salary salary - robot boii, mellow & sleazy & soul revolver lyrics
- je te vois enfin - christine and the queens lyrics
- океан (ocean) - flake lyrics