lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

cnn - ngwair lyrics

Loading...

[intro: ngwair]
[drop]
yeah
ayo, q
[drop]
hakuna kitu tunafanya zaidi ya ku*
[drop]
yaani tuna, yaani
[drop]
haha
[drop]
tuna*, yeah
[drop]
bongo records, baby
[drop]
holla
haha

[chorus]
kama mif*ko ndio imejaa zaidi ya atm
then tuko ‘high zaidi ya klm
then tunakesha kama cnn
[drop]
kama mif*ko ndio imejaa zaidi ya atm
then tuko ‘high zaidi ya klm
then tunakesha kama cnn
[drop]
[verse 1: fid q]
yeah
usiniite “half*man”, niite “man in a half”
you think small, ‘and you’ll remain small for life
hatuwezi piga same ‘instrument but we can all be in the same key, son
experience makes a person better or bitter
nnaweza flow slow lakini brain [ina speeder]
nasi [mis*strain] kama pain ‘nnavyoumiza
na gain ‘tu kila mida, complain nn*z*maliza
(or else)
naulenga mwezi na jua
hata nikiukosa nitatua tu juu ya nyota
na mambo yatakuwa shkopa (?)
cause fid kasema, “you need to try (?) mi sio polisi (?)
[ni halal (?) sikatai]
wala usini*diss kama emcee (?)
muulize whit kama fido, sikuhizi na showbiz define
ma*snitch wana*diss fid love song, ‘mi (?)
hawasikilizi jinsi nnavyo flow ka [geez rewind]

[chorus]
kama mif*ko ndio imejaa zaidi ya atm
then tuko ‘high zaidi ya klm
then tunakesha kama cnn
[drop]
kama mif*ko ndio imejaa zaidi ya atm
then tuko ‘high zaidi ya klm
then tunakesha kama cnn
[drop]
[verse 2: ngwair]
yo, bastola (?), toa code ‘someka (uh*huh)
wapi ilipo bata, wapi leo kinaeleweka?
na pesa mingi mpaka natamani jiteka
then watu wapo king ‘stone ka jamaica
ni ma*model, ma*dodo, waku*roll na ma*gangster
(gangster)
divas and hustlers, paper chasers
nani anaweza piga ngoma kali ka hii?
(mi)
nani anaweza gonga beat nzito ka hii?
(p!)
yeah, you know that
ni bongo records crew na q, east zoo ‘tuko juu (?)
usipime hizi records ziko (?) place non above it
(uh*huh)
man
(you gotta love it, man)
leo ni mwendo wa gambe tu na malavidavi
na warembo wakali ‘matata ka flavi
(what?)
tunapata zetu couple of rounds then, yeah
we out of the town
woo!

[chorus]
kama mif*ko ndio imejaa zaidi ya atm
then tuko ‘high zaidi ya klm
then tunakesha kama cnn
[drop]
kama mif*ko ndio imejaa zaidi ya atm
then tuko ‘high zaidi ya klm
then tunakesha kama cnn
[drop]
[hook: ngwair]
watu wana dough, yaani mpaka soo
na bado daily ‘wana*get more
kwa mishe na kali flows
watoto wa mama ‘wana blow
dada zao ‘beki hazikabi
[wapakatwe (?) baby daddys]
wapate, ‘ya ki*gangster, ki*hardcore
tukikesha kama cnn

[verse 3: ngwair]
yo, kwa kukesha na kula bata tuko so allergic
kwa watoto wa geti kali, we’re so magnetic
mapedeshee wanapigwa tu mitama ‘counter
si tun*z*di chafua bedsheet za mama zao
tunajikinga j*po (tuna mind (?) zana)
una thamani ya diamond, na tuna wabeba kwa free
ishu zote (?), playboy ana understand
na leo keisha akizingua una teka her best friend

[chorus]
kama mif*ko ndio imejaa zaidi ya atm
then tuko ‘high zaidi ya klm
then tunakesha kama cnn
[drop]
kama mif*ko ndio imejaa zaidi ya atm
then tuko ‘high zaidi ya klm
then tunakesha kama cnn
[drop]

(instrumentals)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...