lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bila muziki - ngwair lyrics

Loading...

[verse 1: ngwair]
yeah
yow!
tulizaliwa kwenye shida tukakulia kwenye hizo hizo’ shida ki shida shida
kukaba, ganja, widah, kusuk*ma kete kwa mateja’ kawaida
chochote ili mradi ku*succeed ah coz life ni tough halafu’ feelings kibao lazima tu puff puff pass
simba akikosa nyama ni nyasi ( woo! )
ghetto maji ya mtungi sio friji, unamjua mama na hujawahi muona dingi
uj*penda ila ndio ushazaliwa ghetto ila usingependa wako mtoto’ watoto waje pitia lifestyle uliyo ishi
sio lazima uwe mbishi’ usake hela, busy’ ka (?) na said fella na ukizingua ni jela ( so )
sawa msela?
yeah
[chorus: bushoke]
life ingekuwa vipi bila mziki ( ah )
maisha yangekuwa aje bila mziki
kwa masela wa kitaa kwenye nyuzi za gitaa ooh yeah
watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki

[verse 2: ngwair]
yote maisha katuandikia allah, fanya juhudi pia usisahau sala
kama hauna kitu usichague kazi, mlango moja ukifungwa tisa iko wazi
na mshukuru mola kwa kuumba huu mziki ( yeah )
wengi tu umetutoa kwenye dhiki hatukuvaa nguo mpya sikukuu, j*po tulisoma ila sio elimu za juu
na’ ustakе juwa shughuli zetu za zamani ila usipime kama tunge*lost vitani
tukiwa na nako hata kabla hawaja bang’ usiku tuki*movе kwa ma* gang
tayari nilishaitwa msanii kabla sijashika mic, sijajuana na p ( so )
jiulize ulikuwa usanii gani wengi tu leo hii hawapo tena duniani
rest in peace!

[chorus: bushoke]
life ingekuwa vipi bila mziki ( ah )
maisha yangekuwa aje bila mziki
kwa masela wa kitaa kwenye nyuzi za gitaa ooh yeah
watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki

[verse 3:]
yow
yow
hii kitu hii ( hii )
hii kitu hii ( hii )
imefanya wengi tu wametoka
wagosi wa kaya, ras lion, john walker
sitegemei professa jay kuchoka ( ayo )
a.y.,( a.y. )
f.a. ( yeah ) na dj dee ndio yuko juu every day
j*po mwanzo ilionekana uhuni, nature ana heshima yake hata ukimuita katuni
tusipigie kelele tu haki miliki huku wenyewe tunaleteana usaliti
tunachohitaji ni unit ka kwanza, j*moe mwana tuendelee kukaza
kwa kudra za mola aliye juu, dream zetu siku zitakuwa true
nnachoamini ngwair’ ni lazima siku moja niwe a*milli, a*milli, onaire
holla!
[chorus: bushoke]
life ingekuwa vipi bila mziki ( oh mmh luh luh duh )
maisha yangekuwa aje bila mziki ( yangekuwa aje aje yeah )
kwa masela wa kitaa ( oh ) kwenye nyuzi za gitaa ( zi za kitaa )
watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki ( bila mziki mziki )

[outro:]
oh no no
p*funk
bongo records
the cowboy
b ruta (?)
mm mziki

(instrumentals)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...