lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mara ya mwisho - ndung'u mbithi lyrics

Loading...

[verse 1]
sikujua ilikua mara ya mwisho
kukuona
mara ya mwisho
kuonana
ningejua ningekuk*mbatia zaidi
mara ya mwisho
juzi niipitia ma area
tulizokua tukuienda
pamoja
nalia moyoni kwani
sikujua ilikua
mara ya mwisho

[chorus]
[instruemental]
*phone ringing*

[verse 2]
ulienda bila onyo
haukusema hautarudi
ulienda bila kusema ya kwamba
ni mara ya mwisho

[chorus]
[instruemental]
*crying*
“the person you have called is not reachable. we will notify you when the mobile subscriber is back. if you wish to leave a voice message then please do so after the tone.”

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...