nataka kuwa famous - nazizi lyrics
[verse 1]
kila siku naena shule kama nimelate
napiga pesa kaa’ 500 hapo kwa gate
na nikifika ola so, napiga punishment
ati exam nimefail, oh no!
kwa headmaster again…
[headmaster]
tena saa k*mi ulikuwa ukisumbua wasichana wengine kwa ‘ngate’?
oh what a say!
lakini wao walianza wakisema boyfriend w*ngu ni james
mi sitaki wameni*frame!
cheki sasa, siku imekuwa mbaya
haij*pita hata morning, na niko tired
na break time imefika
yule bully, atanishika
itanibidi ni*look kabila dakika
wacha niende ‘toile’ nijifiche huko ndani
na ku*pass time, nita bust ma*rhyme
na hata wakinicheka ni sawa tu!
nitakuwa famous kama tupac shakur
nitashika m*i*c huku nikicheza chakacha
na nina*mix, ma*culture
na tena huyu bully nitam*employ, kaa ma bouncer
di igniter
lyrics zangu zitawa*set on fire
na tena siku hizo sitakuwa ma*wire
[chorus]
mama mama, nataka kuwa rapper
mom: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma*shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?
baba baba, nataka kuwa rapper
dad: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma*shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?
[verse 2]
shake booty yah, shake your booty yah
ina di place wit’ da new style eh yah
wind your body like a cup of jelly den’
throw your hands up high in the air say
up and down, round and around
up and down and back to the ground
when we wind say we look so fine
so wind wind all of di time
[verse 3]
mimi siko bottom malekajekati
na make tracks fast na bomoa*moja kwenye chati
niki*mix my lyrics kama kimbo na chapati
yani si amini
basi subiri
listent to these words they be hot like pilipili
na mpaka leo nina tafsiri hujaelewa, ah ahh!
mimi huskiza beats na kudance kaa’ chumbiri
fajili 1999 nimezukaa
[chorus]
mama mama, nataka kuwa rapper
mom: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma*shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?
baba baba, nataka kuwa rapper
dad: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma*shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?
[verse 4]
check mic check mic mara ngapi?
mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu
na*make moves kaa’ kiatu
chini kwa chini kaa’ siafu
penya penya kaa masaa tu
ki*pump nyimbo kaa’ matatu
mnamjua n*z*zi ama mnamsikia tu?
cheki cheki, naleta vuruguu
kaa’ master sugu
niki stand up from the crowd kama crest
masikio’s nime possess
i’m on the move constantly kaa’ ma*chest
ah kweli wewe ni invest, angalia
na*rise to the top kama foam ya beer
nikishift style kama gear
i leave you saying huyu dame n*z*zi, oh dear!
sasa skia
ninge waambia msome labell, lakini labell sina
iliraruka, nikiskyve kuenda mamba
hata sikufika bouncer mjinga alinizushia
[chorus]
mama baba, nataka kuwa rapper
mom: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma*shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?
[verse 5]
kata kata, kata kata
kata msiogope, kata majerudio
kata matalipia, kata mama thapia
kata maji na beer, kata msiogope
kata kata, kata kata
kata msiogope, kata msiogope
mimi nitakuwa famous hehe hee, nitakuwa famous
mama mama, unaniona?
mom: si nilikuambia nilikuambia, utakuwa famous
hee hehehe
sasa cheki fundi anacheka
nimekuwa famous, nimekuwa famous
n*z*zi ni famous, hehehehe hehe
mimi ni famous, mimi ni famous
Random Song Lyrics :
- tour eiffel pt.1 - xplicitboyz lyrics
- do it last - britta phillips lyrics
- iluminados de baviera - kingtana lyrics
- tbh ur cool rate 7 - tjs lyrics
- poseidon - zé vibes lyrics
- ugly hearts - r3azons lyrics
- jonathan boy rules - andrew loesç lyrics
- #oś16challenge - młody szef lyrics
- bang (part. don aero) - c-kan lyrics
- back to basics - james goodwin lyrics