lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sijalewa - nay wa mitego lyrics

Loading...

sijalewa
sijalewa
sijalewa
sijalewa

nataka tusahau shida
waiter please lete pombe(tupombeke)
watembezee na wana
tuwe high sio kinyonge(tupombeke)

zikivunjwa glass
tumekuja na vikombe(tupombeke)
na kama unakunywa
kunywa kweli usionje(tupombeke)

ila wengi wakilewa huwa zinashuka chini
kw*ngu mimi zinafanya najiamini(ngumi)
kamwili kadogo najioa kama tyson
hujui kucheza unajikuta michael jackson

vichwa panzi bia mbili tayari ashawaka
anawaza guest kwenye vichaka
hakuna pombe za bure bwana, kipo wanachota
we kunywa tu watakubaka

sijalewa
sijalewa
sijalewa
sijalewa
sijalewa
sijalewa
sijalеwa
sijalewa

pombe ni pombe, stеam zinafanana
hatuchagui kiwanda tunachanganya
we ni ng’ombe nani aliyekudanganya
kula pombe bila kula unapunguza njaa

ona akilewa anatapika(pombe hiyo)
anatoa siri za ndani(pombe hiyo)
kila wimbo anakatika(pombe hiyo)
anakojoa hadharani(pombe hiyo)

vichwa panzi bia mbili tayari ashawaka
anawaza guest kwenye vichaka
hakuna pombe za bure bwana, kipo wanachota
we kunywa tu watakubaka

sijalewa
sijalewa
sijalewa
sijalewa

sijalewa
sijalewa
sijalewa
sijalewa
we jikute boss tunamwaga mahela
wakati wengine wakilewa wan*z*ngua masela
amaze call me bros and me thinking no hela
ata ukinif*kuza …woiyoo

kunyweni pombe
tunywe pombe masela
kunyeweni pombe masela(masela)

kunyweni pombe
tunywe pombe masela
kunyeweni pombe masela(masela)

ona akilewa anatapika(pombe hiyo)
anatoa siri za ndani(pombe hiyo)
kila wimbo anakatika(pombe hiyo)
anakojoa hadharani(pombe hiyo)

free nation
the mix k!ller

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...