nikikuona - nay wa mitego lyrics
gal unanikosha
we ndio faraja yangu usawa huu
wengine walinitocha
kisa sina vyangu mtembea kwa miguu
mungu fundi amenileta wewe
unavyo nikataga nakuita kiwembe
ukiwa shambani unanitaga jembe
ukichoka bongo twende kwa madiba
naogopa hapa bongo watakuiba
jinsi ulivyo mzuri unanipa shida
naniliyo na manguvu si nitawapiga
am in love, am in love
am in love, am in love
am in love with you
am in love, am in love
am in love, am in love
am in love with you
nikikuona na swety (ayaya)
kabla ujani petipeti (ayaya)
we ndio yangu apitaitu (ayaya)
ayayaaa (ayaya)
nikikuona na swety (ayaya)
kabla ujani petipeti (ayaya)
we ndio yangu apitaitu (ayaya)
ayayaaa (ayaya)
oh my gyal you’re fire
moyoni w*ngu sitaweka mwiba nitaulinda usiku mchana
please don’t get tired
walijaribu kukuiba nishawafanya kitu mbaya
baby you change my life
ikitokеa tukiachana mungu akupe good life
imani yangu inanituma mpaka umauti we ndio wifе
sipendelei ugovi ila for you i can fight
mama unaniweka roho juujuu (juujuu)
nataka twende town kwa miguu (miguu)
penzi lako noma changanya na jujuu (jujuu)
na kama shule wewe ni chuo kikuu (kikuuu)
ukichoka bongo twende kwa madiba
naogopa hapa bongo watakuiba
jinsi ulivyo mzuri unanipa shida
naniliyo na manguvu si nitawapiga
am in love, am in love
am in love, am in love
am in love with you
am in love, am in love
am in love, am in love
am in love with you
nikikuona na swety (ayaya)
kabla ujani petipeti (ayaya)
we ndio yangu apitaitu (ayaya)
ayayaaa (ayaya)
nikikuona na swety (ayaya)
kabla ujani petipeti (ayaya)
we ndio yangu apitaitu (ayaya)
ayayaaa (ayaya)
mama unaniweka roho juju (jujuu)
nataka twende town kwa miguu (miguu)
penzi lako noma changanya na jujuu (jujuu)
na kama shule wewe ni chuo kikuu (kikuuu)
ukichoka bongo twende kwa madiba
naogopa hapa bongo watakuiba
jinsi ulivyo mzuri unanipa shida
naniliyo na manguvu si nitawapiga
oh my gyal you’re fire
moyoni w*ngu sitaweka mwiba nitaulinda usiku mchana
please don’t get tired
walijaribu kukuiba nishawafanya kitu mbaya
nikikuona na swety (ayaya)
kabla ujani petipeti (ayaya)
we ndio yangu apitaitu (ayaya)
ayayaaa (ayaya)
Random Song Lyrics :
- straight up - chrisco lyrics
- streeetzzzzz - klaus bukkake, dirty maulwurf & mc baum lyrics
- drama - azad lyrics
- answer to no one (2016 campaign version) - colt ford lyrics
- julekveldsvise - hanne krogh lyrics
- 1813 - byland lyrics
- still alive - eko fresh lyrics
- no more long years - matt and kim lyrics
- no soy un buen perdedor ( en vivo) - fobia lyrics
- riptide (remix) - chief monarchy lyrics