lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbele kwa mbele - nay wa mitego lyrics

Loading...

wazee wa kupima oili
siku hizi nyama tunafunga kwenye foili
(yamotoo)
kale ka mchezo hakana ubaili
maana kwenye baridi kananipanga mi
(kajotoo)
chapa mwendo, bwaga manyanga
pesa ya simba leo nabet yanga
kisanga, majanga
vita vya bunduki we unakuja na panga

na utamu tobo we ni kutoboa
mashine haisagi na kukoboa
kisu cha kukata dodo nishakinoa
maana sitomaliza kwa kudonoa

aah slow down punguza pupa
huyu mpe yule snitch tunamruka (fireburn)
rasta bangi, mchaga duka
bi faya hataki kulinda siku hizi anataka kusuka

mbele … sitaki mbele
mbele … sitaki mbele
mbele … sitaki mbele
mbili kwa mbili
mbele … sitaki mbele
mbele … sitaki mbele
mbele … sitaki mbele
mbili kwa mbili
mbele … sitaki mbеle
mbele … sitaki mbеle
mbele … sitaki mbele
mbili kwa mbili
tuko kisasa huendi kwa manati
unalia njaa wenzako mambo safi
uki overtake tunavuta shati
eti umefilisika kisa pale kati
hutaki kuoga why uvue nguo?
ukitaka lala nnje patiana funguo

na utamu tobo we ni kutoboa
mashine haisagi na kukoboa
kisu cha kukata dodo nishakinoa
maana sitomaliza kwa kudonoa
mwendo wa chuma na checha
uoga akiteta
nuna wacheke(wanokoo)

mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbili kwa mbili
mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbili kwa mbili

mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbili kwa mbili
mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbele …sitaki mbele
mbili kwa mbili
wa amani amekama lake
mbele kwa mbele, mbele
mvuvi sio lazima uvue shati
mbele kwa mbele, mbele
unauliza utatupata wapi
mbele kwa mbele, mbele
ukilegeza tunakaza nati

mbele,mbele
free nation
mbele,mbele…
aaah aaah aaah … aaah aaah aaah … (huoo)
aaahh aaah aaah aaah ……umekata

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...